What would you do if everyday was Saturday/ Weekend?

What would you do if everyday was Saturday/ Weekend?

Inabidi kila siku utafute jipya otherwise utachoka pia. Hata uko kula na kulala pia kunachosha.

Tuendelee
 
Mi ingekua ni movies na kuzurura..
Tuendelee.........
 
hhahahahahahahaaaaaaaaaaaa una mambo weye
Nikigeuka soo many eyes will glance on me!
Wewe pita mbele yangu , ukishanivuka geuka nyuma tutazamane! usimame mkabala nami , as lon as wewe ni mfupi namie tall , watakaokua nyuma hawatakuona.
Haya moja!
Mbili !
Tatu !
Vuka .
 
CHAGUA shansarie kuwa miss chit chat 2013..
kura yako ni muhimu sana..
 
Mmh lakini sidhani kama limeanza...mbona sioni uzi wa kupiga kura??

Ni kweli bado halijaanza na litaanza muda wowote! sema mi nafanya kuanza kukusanya kura sasa kwa ajili ya shansarie..
naomba kura yako mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna shaka mkuu...ngoja tusubiri wakati ukifika.

Ni kweli bado halijaanza na litaanza muda wowote! sema mi nafanya kuanza kukusanya kura sasa kwa ajili ya shansarie..
naomba kura yako mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom