Hahaahahh for me every day ni kama weekend tu kula kulala lol...
khaa! Hata michezo hujihusishi?
Good...
Alafu mbona hugeuki? Au ndo hutaki tuone huo uzuri wako lol
Nikigeuka soo many eyes will glance on me!
Wewe pita mbele yangu , ukishanivuka geuka nyuma tutazamane! usimame mkabala nami , as lon as wewe ni mfupi namie tall , watakaokua nyuma hawatakuona.
Haya moja!
Mbili !
Tatu !
Vuka .
Nikigeuka soo many eyes will glance on me!
Wewe pita mbele yangu , ukishanivuka geuka nyuma tutazamane! usimame mkabala nami , as lon as wewe ni mfupi namie tall , watakaokua nyuma hawatakuona.
Haya moja!
Mbili !
Tatu !
Vuka .
Kwani wewe ni jini?
Nshakuogopa sasa aaagh
Hahahaha alokwambia mimi ni mfupi nani? Futi 5 8.5 inches mfupi?
Au wewe futi 7? Lol lazma nkipita nsionekane lol ila ntawahadithia kama una macho makubwa kama nyanya.
Kwani wewe ni jini?
Nshakuogopa sasa aaagh
Usinihamishe madani !
Agenda kwa meza si urefu, ufupi si udogo/ukubwa wa macho!
Agenda ni u'view vilivyo huko!
Hence unavuka huvuki ?
Ah hebu ongea kiswahili bhana weee mie sijafaham.
Ulitaka nigeuke, nikakwambia nikigeuka nitaonwa na wengi , kilichopo ww njoo univuke nilipo kisha ww ndy ugeuke tutazamane , si itakua umekamilisha azma yako?
Ah basi bhana...kumbe mambo yenyewe ya kutazamana
Football au lol