What women say $ What they really mean!

What women say $ What they really mean!

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
55,849
Reaction score
131,795
Wakisema;
.... "Sitaki kuharibu urafiki wetu "
.... "Kazi zimenibana sana siku hizi "
.... "Je, una rafiki wa karibu? "
.... "Hivi huu uhusiano wetu unaendaje, mbona mimi sielewi? "
.... "Nahisi niko karibu na wewe sana, nadhani unanifaham vizuri saivi "
.... "Nisingependa kujiweka committed sasa hivi, nadhani tubaki tu marafiki "

Wanamaanisha nini? Naomba mawazo!
 
hiyo ya huu uhusiano wetu unaendaje mbona mimi sielewi?

akishaona una mgegeda tu na umri ndo unaenda na huongelei suala la kumuoa
 
Wakisema;
.... "Sitaki kuharibu urafiki wetu "
.... "Kazi zimenibana sana siku hizi "
.... "Je, una rafiki wa karibu? "
.... "Hivi huu uhusiano wetu unaendaje, mbona mimi sielewi? "
.... "Nahisi niko karibu na wewe sana, nadhani unanifaham vizuri saivi "
.... "Nisingependa kujiweka committed sasa hivi, nadhani tubaki tu marafiki "

Wanamaanisha nini? Naomba mawazo!
Mana yake U not perfect au haujafikia vigezo vya anayempenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom