What will happen after November 2025?

kaskas

Senior Member
Nov 1, 2010
158
137
Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????

1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nani aliyeamru Lisu apigwe risasa?

7.....
 
hakuna lolote litatokea ikiwa kama chama cha kijani kitaendelea kuwa mkoloni mweusi wa Tanzania
 
Hatutafika huko kote Mkuu..

Yote hayo yatajulikana mapema tu..

Wacha Watanzania waendelee kulia na Mungu.
 
Hakuna lolote litakalo tokea ikiwa hatuto ifanyia katiba marekebisho, na chama cha kijani kikiendelea kuwa madarakani.
 
Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????

1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nana aliyeamru Lisu apigwe risasa?

7.....
Nenda kibaruani rafiki. Rais hashitakiwi. Ni katiba sio wazo la mtu.
 
Hakuna lolote litakalo tokea ikiwa hatuto ifanyia katiba marekebisho, na chama cha kijani kikiendelea kuwa madarakani.

Acheni kulaumu chama tawala(Ruling Party), tatizo lenu lilo kwa viongozi wa vyama vya upinzani kwani wana ubinafsi mnooooo! Kama siyo ubinafsi 2015 ungalikuwa mwaka wao, sasa bahati harudi mara mbili (within a short period) kwa kipindi kifupi, ni mpaka kizazi cha viongozi vya vyama vya upinzani waliovuruga uchanguzi 2015 vitoweke yaani mpaka baada ya miaka 60(sixty years)!!!amini usiamini, huu ndo ukweli(this is the reality)!!!! Kwa hiyo ya 2025 achana nayo, fikiria ya 2035, Watanzania wenyewe wataamua ya 2025 na ya 2035. Period.
 
Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????

1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nana aliyeamru Lisu apigwe risasa?

7.....

Kimbia kafanye kazi kwa bidii mapema hii, au kama ni kusoma kasome kwa bidii kabisaa utakufa maskini na fukara kabisa asubuhi yote hii unaota mambo ya 2025..
 
zero brain. huna hoja. mtu kuwaza ya mbali ni kuwaza umasikini?
 
Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????

1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nana aliyeamru Lisu apigwe risasa?

7.....
Niliuliza sijapata jibu
 
Fikilia mechi iliyo mbele yako kwanza 2020 ukishinda ndio ufikilie 2025 .mimi nina uhakika kwamba tanzania mpya na yenye matumaini itazliwa 2020
 
Back
Top Bottom