Siyo kweli, labda ungesema What Most Men Think. Ulivyoiweka unamaanisha wanaume wote wanawaza hii kitu muda mwingi. Kama ulipitia JKT(Jeshi la Kuharibu Taalamu) enzi hizo utakubaliana nami kuwa siku za mwanzo za recruitment (kuruta) unaweza kupitisha miezi mitatu bila kuhisi charge huko kunako kwa sababu mawazo hayapo kabisa huko.