What the hell was that for?

Lisu anapenda Sana attention kwao wote wako hivyo.

Ni Mr. Misifa flani hivi. Ila Nachopendea ni kuwa Magu hata hamjibu utoto wake anamuacha tu apige makelele, na asivyojibiwa ndio anapanic na kuzidi kuropoka, na kujichoresha Kama wale kina mama wa ngoma za baikoko.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lissu ni mtu wa matukio tu
.

Leo nasikia eti kaenda kulichukua gari lake!
Kwa MTU mjinga kama wewe utamuona wa matukio.
Kitendo cha kumuwekea pingamizi magu umeelewa kimeleta msaada gani katika zoezi zima linaloendelea LA kuwaengua wapinzani?
Ni kwamba kama tume hiyo hiyo imetupa mbali maombi ya Lissu (ambayo hata yeye alijua hayawezi kupita) kwa nini maombi kama hayo ya wagombea ubunge wa ccm yanakubaliwa?
Ndio maana Tume ikaja juu kuhusu wanaotangazwa kupita bila kupingwa.
Kwa hiyo move ya Lissu ilikuwa smart calculated na imeleta manufaa makubwa
 
Keshamaliza kulipa mkopo wake?
Kwa akili yako Lissu ni masikini kama wewe mtawaza wazungu?
Sasa sijui ukiwatawaza unawaita mabeberu au waajiri?
Mkopo wa gari umeona jambo LA ajabu we fala?
 
Zile tambo zake kwamba yeye ni mwanasheria nguli, then anaweka pingamizi za kiwango cha mgombea wa uenyekiti wa kitongoji, ame-prove kichwani kwake ni mwepesi sana huyu jamaa. Amejaa ubishiubishi badala ya ku-strategize issues kulingana na wakati. Timu yake inayomshauri haina maono. Hata akipata urais, serikali atakayounda itakuwa kituko
 
Mjinga ni wewe unayeona ujinga kwa Lissu kutumia haki yake kama mgombea.

We unadhani kila Haki hutumiwa. Mbona hatumii muda na haki yake kama mshtakiwa. Ameonyesha Utoto mkubwa sana. Na nyie mnaonekana watoto sana kushabikia mambo ya kitoto yasiyo na mantiki except with the aim of attracting attention and cheap popularity. So sad.
 
Seriously??
Hahahaaaa Lissu bana!

Sijui kwa nini anapenda kuwa drama queen kiasi hicho!!
Nyie wenye akili ndogo hamtaelewa kamwe..... mtu anaetumia misuli kupambana nae inahitaji akili nyingi mno na lisu anatumia akili(ukiacha swala la kushinda ama kutokushinda uchaguzi....)

Kwa kuwa umetoka kapa ktk kuelewa trick/manuva ya lisu ndo hapo na wewe umekuja kujiexpose namna ulivyo empty head.

Na wajinga kama wewe ndo watakuona umeandika la maana kumbe umeficha ujinga wako kwa lugha.
 
Mkuu
Najiuliza mwanasheria nguli anaweza kweli kuelewa hizi vocabularies ulizotandaza hapo?
 
Tatizo ni kwamba kila anayeji-associate na Magufuli anakuwa brainwashed. Nyani Ngabu hukuwa hivi zamani. Sorry but to say the least Nyani Ngabu. You have lately turned into a brainwashed character!
 
Hapa kuna ukweli fulani.
Ingawa hii haiondoi dhana kwamba hujawahi kumkubali Lissu. Kwa hivyo, umetia pia chumvi kwenye kizungu chako hiki.
Hivi ukimwandikia hivi yule sheitwani wako unayemuabudu ataelewa chochote? 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…