What the hell was that for?

What the hell was that for?

The combersom ridicuriosity of impeachatable dranatise the bizzare of dullibess of ccm after totally or partially ripivroheras appendicular sabotage of lissu,this simbolise the affectionism of embramence at large
Mkuu,umeniacha kwenye mataa. Hiki ulichokizungumza?
Je ni Kizaramo,
Kimakonde ,
Kidengereko
ama lugha ya majuu?
Nimepotea. Ulikuwa unataka kusema nini hasa?
 
Mbona Mlikuwa kimya kabla ya tamko la Tume lisilo na basis yoyote ya kisheria? Uchaguzi huu mgumu, na Mbona tumeshawajulisha?

Msije kufikiri hii nayo ni kuzurura na magunia ya hela za Umma na kugawa hovyo kwa watu wanaowasifia barabarani, Kazi ipo mbele..

Kwanza Lazima mtueleze mgombea wenu siku Ile wakati anaagiza Lissu auawe alikuwa amelewa? Au alivuta bangi ya Burigi?
Tulikuwa kimya sisi kina nani?

Uneona kuna mtu anahangaika na huyo Lisi wenu!

Kila siku ana hangaika kama kuku anataka kutaga, na watu wamemwacha ajihangaikie akichoka ataacha.

Yani kina Polepole waache kupanga mikakati ya ushindi huku field waanze kukimbizana na Lisu kwenye drama zake?
 
The main reason for all the objections that Hon. Tundu Antipas Lissu and his mate Hon. Salum Mwalimu made for the two candidates; was to remind the nation and NEC that John Pombe Magufuli is just a presidential candidate like others & nothing else.

Be hamble, be calm. This election is for big minds.
 
Hii ndio sababu ya kushangilia upuuzi wa Lisu jana?
Tuwe wakweli Lissu made a very clear point with reference to the law. He knew that NEC will turn down his objections but he poked the hole. And we all know that NEC imempitisha mgombea ambaye nakuweka picha sahihi kwenye fomu. Na hili kinaruhusiwa kuwa ccm wanatunga sheria lakini wao hawazismamii
 
Love is blinding you, you cannot see the logic in tactical side of Lisu’s moves! The first thing was to counter ccm’sobjections, but second and main is to set the record and starndards straight! If you refuse Tundu’s objections because they are unfounded and miner, then do the same to his member of parliament and madiwani! (English siyo yetu sote!)
Hahaha....Petty MATAGA never saw that.
 
Nyani Ngabu damn! try to think positively on what Hon. Lissu did ..don't be fooled on matters relating to unconstitutional manners that your outdated party does. Considering to the rules that NEC proposed to be followed by all candidates but Mr. Magufuli and Lipumba both broke almost 40℅ of them ..its so strange that you expected Lissu not to take an action on that! I feel sorry for my falling country.
 
On my side I agree with honorable Tundulissu due to the real fact that ccm aspirants most of them are corrupt, and are there to Confisicate our natural resources, and miss use of public fund.

I felt pains when I saw Nec has rejected Objection which imposed by Prophet Lissu .
 
Tulikuwa kimya sisi kina nani?

Uneona kuna mtu anahangaika na huyo Lisi wenu!

Kila siku ana hangaika kama kuku anataka kutaga, na watu wamemwacha ajihangaikie akichoka ataacha.

Yani kina Polepole waache kupanga mikakati ya ushindi huku field waanze kukimbizana na Lisu kwenye drama zake?
Tafiti zinaonesha Fisiemu ni Chama kinachopendwa na Wajinga na wazee, So kafie mbele huko, mkilemewa mnaanza kupiga watu risasi wauaji Wakubwa nyie
 
The main reason for all the objections that Hon. Tundu Antipas Lissu and his mate Hon. Salum Mwalimu made for the two candidates; was to remind the nation and NEC that John Pombe Magufuli is just a presidential candidate like others & nothing else.

Be hamble, be calm. This election is for big minds.
Can you translate that for me, please?
 
Back
Top Bottom