2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Tangu mheshimiwa rais ameapishwa pale uwanjani mpaka sasa ni mengi yametokea mpaka sasa.
Wapo walio cheer na walio boo. Uteuzi kesha maliza hata ukisifia haitasaidia sana.
US Dollar imeota mabawa tena.
Nauliza maisha yenu yamebadilika kiasi gani, ni nani aneendekea kuishi kwa matumaini, ni nani katika utawala huu amekua kipele kilichokamuliwa ni nani amefanyiwa upasuaji wa jipu kwenye chemistry LAB, ni nani ameendelea kula BAKTA, na ni nani amebakia kua nyumbu
Nawasilisha...

Last edited: