What really happened in Simba Sc Vs Stella Abidjan in 1993?

Masatu,Mwameja,Masha ni miongoni mwa wachezaji waliohongwa na Dewji

Bolizozo akawatungua goli mbili
Uongo mtupu,Simba hajawahi kuwa na mpira wa kuchukua Kombe la Africa.Kwani wachezaji walikuwa hawataki kuweka historia na pesa wangepata pia,Dewji mwenyewe angeweza kupiga longolongo na asitoe hizo KIA.Acheni uswahili kama wa Anakuja Minara.
 
Unewasahau Mzee wa Kiminyio,Malota Soma,Kasongo Athman,Abdul Mashine,Fikiri Magoso,Hussein Marsha,Twaha Amidu,Itutu Kiggi nk.nashangaa Leo mnavyomtukuza Kuchukua,kichuya naye mchezaji[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ulikuwa bado hujazaliwa
 
Baadhi ya Wachezaji ninaowakumbuka wa Simba Ni Mohamed Mwameja, Hussein Masha, George Magere Masatu, Alfred Kategile, Damian Kimti, Alfred Kategile, Alphonce modest, Makenzi Ramadhan, Dua Said, Edward Chumila n.k

Naongezea hapo, Malota Soma , Twaha Hamidu ,Idd Selemani.Rashid Abdallah.
 
Mnyama kaanza zamani kukata rufaa ..hata hii mechi walilalamika Bolizozo hakuwa amesajiliwa maana mechi ya kwanza hakucheza alikuwa ameenda France kwa ajil ya trials... mechi ya marudiano akaweka mbili kambani shamba la bibi
 
Mpaka Mwisho bila ya kutegemea Mzee Mwinyi akashuka Jukwaaani Kwa huzuni usoni lakin akiwa Na furaha moyoni Kwa Kuwa Nae Ni Yanga Damu Kuliko Mzee Akili Mali
Mtake radhi rais wetu mstaafu...yaani unaambiwa alitaka Runyamilla apewe namba ili asawazishe magoli kwenye mechi hiyo halafu unasema alikuwa na furaha. Narudia mtake radhi tafadhali.
 
Mleta mada bora umeliibua hili...hatutaki upuuzi kwenye michuano ya CAF kwa vilabu bingwa msimu ujao. Simba macho yetu kwenu hata kama sisi ni watani zenu...hatutaki mtudhalilishe tena kama 1993.
 
Unewasahau Mzee wa Kiminyio,Malota Soma,Kasongo Athman,Abdul Mashine,Fikiri Magoso,Hussein Marsha,Twaha Amidu,Itutu Kiggi nk.nashangaa Leo mnavyomtukuza Kuchukua,kichuya naye mchezaji[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Madaraka hakuwepo kipindi hicho, alikuwa falme za kiarabu
 
Mnyama kaanza zamani kukata rufaa ..hata hii mechi walilalamika Bolizozo hakuwa amesajiliwa maana mechi ya kwanza hakucheza alikuwa ameenda France kwa ajil ya trials... mechi ya marudiano akaweka mbili kambani shamba la bibi

Acha uongo Boli Zozo alifunga goli la pili. Goli la kwanza lilifungwa na Ceku Bambe
 
Hahaahaaaaa kumbe haya mambo hayajaanza leo...juzi manara anauliza nani kapiga penati
 
Kama hivi ni kweli basi simba wasithubutu kumuita rais yeyote wa nchi kwa muda huo...maana inaonekana shughuli huwa pevu
 
Azim Dewji aliuza mechi ili asiwalipe wachezaji zile KIA alizowaahidi
 
kuna vitu umepotosha Alfred kategile, Damiani Kimti, Alphonce Modest, Makenzi ramadhani na Duwa Said hawakuwemo kwenye hicho kikosi
Kuna Timu ya Algeria ambayo Simba ilicheza nayo ikaifunga
Kuna wachezaji kama Michael paul, George Lucas, Ramadhami Leny kwa kuwataja wachache
 
Mkuu golini alikuwepo Tanzania One Mohammed Mwameja, Mackenzi Ramadhani hakuwepo.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…