Aliahidi gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,wachezaji walikua 30,sasa piga hesabu..baniani ikabidi afanye ubaya wake,akatembeza hela kwa wachezaji muhimu wa simba,simba akafungwa kizembe,mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ilimuuma sana,akawaomba wamwingize lunyamila,akaambiwa yule yangaYeye ndo aliuza game nini?
Masatu,Mwameja,Masha ni miongoni mwa wachezaji waliohongwa na DewjiAliahidi gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,wachezaji walikua 30,sasa piga hesabu..baniani ikabidi afanye ubaya wake,akatembeza hela kwa wachezaji muhimu wa simba,simba akafungwa kizembe,mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ilimuuma sana,akawaomba wamwingize lunyamila,akaambiwa yule yanga
kwahiyo mdosi alishangilia kiaina?Masatu,Mwameja,Masha ni miongoni mwa wachezaji waliohongwa na Dewji
Bolizozo akawatungua goli mbili
Ndio maana kuna haja ya hizi timu kutofadhiliwa na hao kuchkuchkwahiyo mdosi alishangilia kiaina?
nakumbuka 1992 au93 marehemu Gulamali alilia badala ya kucheka Yanga walipofanya kweli pale kampala na kubeba ndoo ya cecafa bila kutegemea mdosi akawa ameahidi donge nono kama wangewafunga villa wenyeji kwenye final ambayo zamoyoni mogela alitupia goli 2Ndio maana kuna haja ya hizi timu kutofadhiliwa na hao kuchkuch
waliwaomba yanga wawe na uzalendo wawashangilie na yanga walifanya hivyo lakini baada ya kutunguliwa goli 2 na bolizozo, Yanga wakaanza kuimba uzalendo umetushindayan hom game hii sitaisahauuuuuu
Hakuna aliyeuza game, ila uwezo wako Simba uliishia hapo, n'a aibu tukaipata mbele y'a Rais wetu mpendwa Mzee Ruksa, kama ilivyokuwa jana mbele ya JPM, Kagera wakajitobolea Tundu Tobooo... Kuisha habari yao.Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc waliuza hiyo game..Wadau wa Soka la Bongo ..What do u think ? Ni kweli Simba waliuza hiyo game ? Kama waliuza nani walihusika na mchezo huo mchafu ?
Mikia walizidiwa uwezo hakuna cha Dewj kuuza mechi Wala niniAliahidi gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,wachezaji walikua 30,sasa piga hesabu..baniani ikabidi afanye ubaya wake,akatembeza hela kwa wachezaji muhimu wa simba,simba akafungwa kizembe,mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ilimuuma sana,akawaomba wamwingize lunyamila,akaambiwa yule yanga