Bongo hamna tajiri wa kufanya matusi haya
yule aliyetimuliwa kama mbwa kwenye timu moja hapa bongoYupo yule ana kiLamborghini cha njano aliyekaribu na First Family......kwi kwi kwi
hizi picha tu au zipo kweli...?
Kitu kimoja pesa hakiwezi kununua ni afya na uhai.
hizi picha tu au zipo kweli...?
aamin....Jipe moyo mkuu ila binadamu wenzio wanayaishi hayo maisha
wengine tunasindikiza....unaona kama photoshop? Huamini ingia net uangalie mansions zilizo miami ndo utajua kuwa watu wapo serious
Zipo kweli bhana....ila waweza kuwa una more than that hata kama utaona thamani yake ndogo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
unaona kama photoshop? Huamini ingia net uangalie mansions zilizo miami ndo utajua kuwa watu wapo serious
Kitu kimoja pesa hakiwezi kununua ni afya na uhai.