What makes you happy?

Ni wapi huko
 
Football ⚽️.

Short drive nje ya mji +music + trusted friends hasa weekend, tukila na kunywa na kupanga mipango ya kusaka hela.

Nikiwaga home, majira ya kiangazi, huwa napenda kwenda jioni kuwinda bata maji/ducks kwa bunduki. Najificha kusubiri makundi ya bata yaje kwenye mabwawa, yakitaka kutua nayafyatulia risasi za vuguvugu. Huwa nafurahia sana shughuli hiyo, niliyofundishwa na mshua wangu, huwa napata kitoweo safi, huku nikiburudika sana moyoni, ni vile tuu sipo home. 😎
 
Ni kweli mkuu, ila kuna kanamna miaka ya yupo kulikua HD zaidi hata anga lilikua la kupendeza sana
 
😀 hao Bata unakuwa unatarget sehemu gani hasa...maana ukitumia 16 calliba si utaokota utumbo tu

Zipo bunduki na risasi zake maalum kwa ajili ya ndege na wanyama wadogo wadogo, kama waterfowl, vipanga, storks n.k, sungura, hata digidigi ukimchapa vizuri. 😁
Ukifika kwa muuza silaha mtaalamu kama, Tanganyika Arms Limited, atakuuliza unataka bunduki kwa matumizi gani?
Ukimwambia matumizi yako, atautapewa bunduki na risasi maalum kwa ajili ya kitu unacholenga. Watakufanyia recommendation na customisation.

12-gauge ndio specific kwa teal or smaller, closer range-hunting.

Mfano BROWNING MAXUS II VINTAGE, semi-auto trigger, unaitumia kwa wanyama na ndege kama hao.
 
🔥🔥
 
Jamani
Nyie watu mnaishi wapi ni hapa hapa tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…