What makes women more happy among these?

What makes women more happy among these?

According to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies
Hivyo vitatu vinatosha mno both kwa wenye akili timamu na waliozibuka i mean wa kizazi cha mwinyi na jah kaya cha nyerere i dont know
 
  • Thanks
Reactions: LD
According to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies

Strange ...!Hadi kufikia hii post .. Sioni Sex ikitajwa seriosly ...MAANA YAKE NINI?
 
Last edited by a moderator:
7. LIES...akinambia ukweli nitamchukia, bora tudanganyane tu penzi lidumu. Lol
3. MONEY.....ila tunalofanya Pesa inahusika.
 
According to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies

Yaaani ukianza na gia hiyo hata mtoto wa OBAMA yupo mikononi mwako.
 
1.....3.....6.........bhaaaaaasi........
kuna mijitu miongo dunia sijawahi kuona......ukiiuliza inadanganya ili iweje........halina sababu........


sasa bi dada............ukipata attention...money na mtu mkweli ambae kiwango chake kitandani kiko chini mno utapumzika tu!!????
 
Nyie mkimaliza kuCC ana mnambie maana leo mnazungumza lugha ngumu. Mtoa mada aksante ngoja niangalie mie za kunifaa
 
Back
Top Bottom