What Makes a Leader?

Shamu

JF-Expert Member
Dec 29, 2008
510
44
When asked to define the ideal leader, many would emphasize traits such as intelligence, toughness, determination, and vision--the qualities traditionally associated with leadership.

Often left off the list are softer, more personal qualities--but they are also essential. Although a certain degree of analytical and technical skill is a minimum requirement for success, studies indicate that emotional intelligence may be the key attribute that distinguishes outstanding performers from those who are merely adequate.

Psychologist and author Daniel Goleman first brought the term "emotional intelligence" to a wide audience with his 1995 book of the same name, and Goleman first applied the concept to business with this 1998 classic HBR article.

In his research at nearly 200 large, global companies, Goleman found that truly effective leaders are distinguished by a high degree of emotional intelligence. Without it, a person can have first-class training, an incisive mind, and an endless supply of good ideas, but he or she still won't be a great leader.

The chief components of emotional intelligence--self-awareness, self-regulation, motivation, empathy, and social skill
--can sound unbusinesslike, but Goleman, cochair of the Consortium for Research on Emotional Intelligence in Organizations, based at Rutgers University, found direct ties between emotional intelligence and measurable business results.
 
You are quite right. In the modern world consumer/client needs satisfaction skills (equivalent to what you have termed as "emotional intelligency) are more emphasized for effective business entrepreneurship.
 
Taifa ni umoja pasipo umoja hakuna taifa, kwa kiongozi yeyote yule makini na mwenye nia ya dhati kwa nchi yake, atafanya kila liwezekanalo ili watu wake wawe wamoja, kwakuwa pasipokuwa na umoja taifa lolote halitaweza kufikisha malengo yake. Ni muhimu kutambua kwamba serikali haiwezi kujenga nchi peke yake pasipo jitihada za dhati na kujitolea kwa raia wanaojenga nchi hiyo, kiongozi mzuri ni yule mwenye uwezo wa ku organize na kuhamasisha watu wake katika kuleta maendeleo ya taifa lao wenyewe.

Ni muhimu kwa kiongozi yeyote yule kujenga uzalendo kwa watu wake, kuwafanya watu wake wajitambue kwanini wao ni Taifa na wana malengo gani kwa wao kuwa pamoja, lazima kuwe na kitu kinachowaunganisha pamoja, lazima kuwe na dira inayowaongoza kama watu walioamua kuishi pamoja, lazima wajue wanapotaka kuelekea, hii ni kazi ya kiongozi kuonyesha njia, lazima awe mtu mwenye kuaminiwa, mwenye hekima na busara za kutosha kuongoza watu, lazima watu wamuamini kutokana na matendo yake na maneno yake.

Naamini sio kazi ya serikali kuwalisha watu wake, Nchi itajengwa kwa jitihada za kila mmoja wetu katika kufanya kazi, katika kufikiri na katika ujenzi wa taifa letu, serikali kazi yake ni kutengeneza mifumo , kusimamia na kuratibu, mifumo itakayosaidia uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa, kulinda haki za raia miongoni mwetu na kulinda taifa dhidi ya maadui wa nje, ila ni wajibu wa raia anayeunda nchi yeyote kutumikia taifa lake kwa dhati na kwa moyo wake wote, serikali ni kiongozi wa mfumo tu hana wajibu wa kulisha watu wake. Raia wanawajibu wa kufanya kazi kwa bidii kwa kulima na kujishughulisha katika kazi nyingine za uzalishaji mali.

Ni muhimu kwa serikali kuhamasisha watu wake katika kufikiri na kutafuta maarifa kwa juhudi, kuhakikisha wananchi wake wanathamini kujitegemea kwa kuwa wachapa kazi na wabunifu. Pasipo kufanya kazi kamwe uchumi wetu hautokuwa. Lazima akili zetu zijihusishe katika masuala ya uzalishaji mali kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa maarifa na kujishughulisha katika kufikiri na kuvumbua, ni juhudi pekee na umoja wetu ndio utakao nyanyua taifa hili, tukitambua wajibu wa kuondoa umaskini ni wajibu wetu binafsi.
 
Kwa kifupi Emotional Int kwa kiswahili ni Werevu wa KIUTU! kuutofautisha na werevu wa KIAKILI ....

Utu wa mtu una nafasi kubwa .... Kwenye uzalishaji, maendeleo ...nk ...Na sio uwezo wa kiakili pke yae.

Mtu anaweza kuwa na werevu mkubwa wa Kiakili lakini ..akakosa ufanisi Kwa kukosa utu na maadili yake ya upendo na ubinaadamu. Utu unazaa Uzalendo na Utu wa taifa ...

Viogozi wetu wengi wana akili na wamefaulu shuleni kiakili lakini wanataia aibu Kiutu na kibinaadamu kwa kutawaliwa na ubinafsi na kukosa uzalendo ikiwa na maana hawaana E I ...

Kwa hiyo UTU au Emotional int ...Ni muhimu sana ..Kama lazima mtu anatakiwa kwenda shule mbili na kufuzu ..Shule ya kumjenga kiakili IQ na Shule ya kumjenga Kiutu EI/ EQ
 
nakubaliana na wewe elimu bila maadili ni sawasawa na mto bila kingo.
 
Back
Top Bottom