Orait orait..now i got my partner next to me...embu mwambie huyu mujamaa who are the QUEENs of this jungle and how the KINGs run after us!
Bwoii without us even money wouldnt matter.
I wish atokee mtu a upload wimbo wa Beyonce who run this world, hua inanizungua kufanya hivyo.. ngoja nitupie lyrics alafu tendelee kuchaka....
Asante, Asha D
I wish atokee mtu a upload wimbo wa Beyonce who run this world, hua inanizungua kufanya hivyo.. ngoja nitupie lyrics alafu tendelee kuchaka....
http://m.youtube.com/#/watch?v=VBmMU_iwe6U
Tatizo vijana sijui wamekimbilia wapi ila ukweli ndo huo da Asha,mabint ni tegemezi if u galz run this world,are u sure kama tukiondoka mtaona raha ya maisha?
Mpenzi kumbe ndo ulikua unahangaikia link?? pole mwaya...
Partner mimi naona tuanze kwa kutohoa mistari ya beyonce na kujustify...
naanza ha hii...
Some of them men think they freak this like we do
But no they don't
Ni kweli kabisa wakaka walie tu.. i think Eiyer kaka yangu atanifukuza hapa...lol
Hehehe nakwambia..
Ahhh tumuonee huruma huyu Eya maan kama namuona presha juu!
Hapo ni pesa tu mengine yanakuja badae
Mkuu nahisi umeelemea sehemu moja tu, ya kwamba tunatafuta pesa ili tustarehe na wanaume au wanawake zetu, but pesa pia inatafutwa kwa mambo mengi sana, kusaidia watu wenye shida, kujiinua kimaisha, kujenga ili tujistiri kusafiri kwa ajili ya holidays na mambo mengine mengi tuSome people say money,some say beautfull garls!What do think?Unahangaika usiku na mchana upate hela au utoke outing na mabint wakali?(wazuri)au ni vijana mahandsome??