kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
😀😀😀😀😀pole kwani ulikua unataka niniJust imagine 😭🙌
Pole mdogo wangu, anakujibuje kavu kavu hivyo?Just imagine 😭🙌
Kaza matako wewe hukuzaliwa nae siku moja huyo jiongezeJust imagine 😭🙌
Sijaona shida hapomtu mmoja anielezee haya mahusiano yanashida gani mbona mi naona ni kawaidia
mi piaSijaona shida hapo
Mzani wa mahusiano haujawahi kubalance hata siku moja lazima tu mmoja aonekane yuko chini na anayahitaji mahusiano hayo kwa hali na maliMahusiano yoyote unayojiona unaweka efforts kuliko mwenzako achana nayo
hiki kicheko kina siri kubwa ndani yake
Au sisi ndio tuna shida hatuoni shida🤣🤣mi pia
Huu ujumbe ndio pekee unawaridhishaSijaona shida hapo