Siku ukiambiwa unaenda kwa mungu inakuwa, utakimbia?Namuogopa Mungu tu!
Wewe umesuka?Naona unaogopa kudo ur hair, ndo maana umenyoa
Safi. Ziwekee na shanga za rangi ya rastafaryNimesuka rasta, siogopi kudo my hair :confused2:
naogopa ngoma
naogopa sehemu zilizozibwa sana eg elevators, clubs zisivyo na emergence door au tunnel
naogopa magunza wanaoingia kwenye mwili hasa manyonyo
Magunza?
Ngoja hata nisiseme phobia yangu.
Wadudu............watambaao na kuruka
Kuna mafunza na 'magunza'
Magunza mabaya wewe? Yana jicho moja lakini hayakawii kukuvimbisha tumbo
Napenda magunza.........wala siyaogopi......
Scared of creepy-crawlies? You remind me of my little one. She is a nervous wreck when she sees them.
tumia Baygon basssssssss lol
Yeah ni aibu..............imagine a grown up like me kupiga makelele na kuvua nguo kisa kapandiwa na dudu, juzi mjusi kanidondokea mgongoni i'm telling u it was insane.........lol