What is your addiction,Pussy or Alcohol?

kumbe tupo wengi, addiction yangu speed tuu pamoja na drift za apa na pale uniweke sport car na duu mkali, au pombe haraka nitawai sport car
hahaha mie pombe nimeikataa kwa sababu kichwa changu nakijua mwenyewe nikinywa pombe nitakuja KUFANYA tukio la ajabu litakalo gharimu maisha yangu.. zats y sigusi hata kuionja... siipendi kabisa..

pussy.. naziona za kawaida sa cjui nimezikinai au vip
 
car funs wote huwa hawapendi pussy kiufupi zimewakalia kushoto hatuna time nazo
 
hahahahahah wee weka hapo SUBARU STI iliyo nyooka vizuri.... aah nasahau kabsa kama kuna kitu kinaitwa papuchi alaf ukiwa fundi maeneo yetu haya..(car maniacs) utashangaa papuchi zinajileta
 
Nilichojifunza mungurumo wa gari unaoendesha unapangawisha zaidi ya mguno wa demu anapo gegendwa
 
Kama unaishi sayari ya tatu basi kimoja kati ya hivyo ni addication yako.
Kwangu napenda chini sana sema siku za karibuni mhmm tungi limeanza kunikolea lakin bado alijafikia chini.
Vyote
 
Sio powa, huwa natunia Peugeot s106 git inaspeed za kutosha pia ina balance nzuri huwa inanitia kichaa sana kwenye kona nalala nayo maziwa burudani kabisa
nimepoteza simu juzi kati hapo... ngojea... kuna DRAG race huwa tunazipanga pale QUALITY CENTRE QC.. mida ya saa 5 usiku... so nikifanya back up ya contacts zangu itabid tufanye event moja pale.. na nataka drag race na wewe.. from QC up to Mwl nyerer international airport..............................
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] fresh aina noma
 
Both... Hasa hasa ukipiga U3 (Umekunywa, Umelewa na Umenjunja) mambo yanakuwa swaaafi kabisa
 
Back
Top Bottom