What is wrong with this picture? Look very carefully!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
What is wrong with this picture.
Look carefully.... LOL

 
Ni nani anauhakika kuwa amekufa? Inawezekana kuwa bado yuko hai, anapata mateso ili atoe siri. Yaani wamtafute muda wote huo halafu wamuue? Haswa hili swala kuwa eti kumepatikana flash disc na memmory media nyingi huko nyumbani kwake kunanifanya niamini yuko amafungiwa mahali, anaimba kama kasuku siri zote za chama chake. Kuna uwezekano kabisa kuwa Rais mwenyewe hajui kuwa yupo, akiwa kama mwanasheria hataki sheria zivunjwe. Lakini hakuna sababu kwanini shirika kijasusi lisimfungie mahala pa usalama na siri, wamtese kwa miaka mingi ijayo, mpaka wachoke halafu wamnyonge.
 
waliotengeneza wameikosea, walitakiwa wamuweke pale mgongoni kwa obama
 
Hivi Osama kweli ameuwa kweli au tunajidanganya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…