What is wrong with me?

I feel sorry for you as i do for myself cause i am experiencing the same situation.... Sometimes i feel like i need psychological help,,, OMG! I lost my mind for sure...
 
I feel sorry for you as i do for myself cause i am experiencing the same situation.... Sometimes i feel like i need psychological help,,, OMG! I lost my mind for sure...
Am so sorry...but all is gonna be fine soon....(mgonjwa ktk ubora wangu...nkimpooza mgonjwa mwenzang
)
 
mwanzishie uzi huyu behaviourist bhana hujaanzisha uzi siku nyingi
 
Mchakato katika ukuaji, hasa pale unapohisi unahiaji kuwa na kila kitu kwa wakati mmoja, karibu kila mtu amepitia kwa wakati fulani ishu inakujua unapopitia hali hyo unakuwa mazingira ghani.cause inaweza sababisha ukamake wrong decision.me inakuwa mbaya zaidi ni kikosa mshiko hata wakufanya shopping naanza kukumbuka kila wrong decision niliyofanya nyuma.but all in all GOD is in control and watching us from the distance hata katika hali kama hiyo
 
Sante....
 
Hukojoleshwi vizuri wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…