What is wrong with me?

mbona unaishia kuguna?! Kuna siku utakuja kukumbuka huu ushauri! Watu wengi huwa wanadhani ni mas'hara, lkn mapenzi ni tiba ya mambo mengi sana! Get one, get stress free!
Hehe duu...
 
Dakika za mwisho mwisho kumaliza chuo huwa ni ngumu sana, unawaza nikimaliza itakuwaje

1. Huna uhakika na kazi

2. Huna mchumba ambaye ni potential

3. Home hakueleweki, kiasi kwamba unaweza kuishi bila kazi na maisha yakawa kawaida (support ya kifedha ipo, maana boom ndo kwisha)
 
can i love you for this??....anyways thank you...am so desparate about so many many things...and my patience is fading...
 
...mmmm hapo kune boom kuna ukakasi...tena 15% kukatwa....
 
And am loving you even more...i think i needed this
...
 
It's all about MIND SET. you need someone close
 
Huna hata B/F? unajisikia vibaya ukiona wenzio wana rafiki zao? family yako uko nayo karibu kama Mama? au dada kama unae?
My friends wako mbaliiii....i dont have anyone close kwa sasa...
 
Heee kwan we umemaliza na miaka mingapi....niko Mzumbe...au nikupe na registration no angu kabsa
...
nadhani kwavicheko vyote hivi tayari stress zimekata mkuu, unless otherwise iwe stress ya pango la nyumba
 
nadhani kwavicheko vyote hivi tayari stress zimekata mkuu, unless otherwise iwe stress ya pango la nyumba
mkuu nachekea kune emoji tu...ukiniona sura imekua nyekunduuu...
 

You must be having an awful partner, au uko single.... anyway ni inbox nikupe solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…