What is wrong with me?

Tafuta "ka msingi kiuno" kakupe mambo utaona mwenyewe...Pengine hujahudumiwa long time!! Trust me utachange
 
Jitoe na humu JF.
(Jokin)

Well its cz hujapata soul mate. Lakn keep calm, the best is yet to come. Love is a beautiful thing, when you pick the right one.
you said all, and tel them also how to pick those right one.

We all wanna learn hear.
 
You need a date babe girl!.
 
Una bleed?
 
Huo ni upweke unakusumbuaa,
labda upo mbali na ndugu, marafiki au mpenzi,
Au labda umekataliwa sana so ilo ni tatizo la msongo wa mawazo,
Kuna kipindi ilishawahi kunikuta na kuna vitu nilifanya nikawa fine
 
Mara ya mwisho kufanya mapenzi lini?
 
Huo ni upweke unakusumbuaa,
labda upo mbali na ndugu, marafiki au mpenzi,
Au labda umekataliwa sana so ilo ni tatizo la msongo wa mawazo,
Kuna kipindi ilishawahi kunikuta na kuna vitu nilifanya nikawa fine
Yes marafiki zangu wako mbali sana
....but we do chat....

Ulifanya nn ukawa fine??...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…