Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Kujitoa jf ni mwikoJitoe na humu JF.(Jokin)
Well its cz hujapata soul mate. Lakn keep calm, the best is yet to come. Love is a beautiful thing, when you pick the right one.
Anytime mate.Kujitoa jf ni mwiko
thank you tho....
Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...Una miaka mingapi? unafanya nini? unasoma unafanya Biashara umeajiriwa,una mume,au Mpenzi?
Asante rafikiKaa na fanya mambo ambayo unaona yanakupa furaha ila pole... Wengine huku tulishaona kila kitu kichungu ila tukajipa moyo... Pia kubali kuwa maisha yako yana dhamani zaidi na pale unapofanya jambo kwa mtu mwingine jiaminishe kuwa utalipa cku moja mbele za mungu yaani mbinguni. Ukifanya hivyo utabadilika rafiki yangu
Mmmh haya bana.Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...
KaribuAsante rafiki
Kwa hali hiyo kama ana mume basi mumewe ana maisha magumu sanaUna miaka mingapi? unafanya nini? unasoma unafanya Biashara umeajiriwa,una mume,au Mpenzi?
Mmmh haya bana.
SantePole sana
Thank you for that...It seems like you're stressed up with something but you don't know what it is.
Kaa chini ufikirie ni kitu gani ambacho hakikwenda vile ulivyotaraji..pengine ukapata jibu.
Una bf?!Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...