Hahahaha...huyo ndugu yako siyo kwamba anampiga madongo mkewe indirectly??
Halafu shem unaniharibia sasa...mwenzio Kongosho keshapenda macho, kafa kaoza..haambiliki!!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kwa raha ya dakika mbili tu.... au?
Heri nitumie sabuni..........................................kuogea
we kweli K. Hvi nani mjinga aexpose pesno info zake hapa
DAH.....umetaja chips za EDDO...Maranyingi nikimpelekea mpenzi wangu hua anazifurahia sana...nimemkumbuka sana..na nazidi kuvutiwa hasa nikimuangalia machoni mwake...huwa nahisi kama antaka kusinzia vile !!!Waoooh! Kesho mchana nitakupitia twende kula chips za kwa eddo then hapo nitakuambia kitua ambacho ni most attractive kwako!!
Waoooh! Kesho mchana nitakupitia twende kula chips za kwa eddo then hapo nitakuambia kitua ambacho ni most attractive kwako!!
dushelele
just curious ....
My husband his waist and wallet
Kigori kabisa mie
Muuliza mateka.
Mateka atajulia wapi,, kwani ulishamuonjesha ugoro?