ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,580
- 44,826
UmepatKwa ufupi;kwangu maisha ni "kusudi" ambalo liko ndani yangu,linaishi,linakua,nimelibeba,.kulitimiliza kusudi/mpango huo ni lazima "niliishi" ili liweze kutimia kama lilivyokusudiwa.
hello there, napita tuKwa ufupi;kwangu maisha ni "kusudi" ambalo liko ndani yangu,linaishi,linakua,nimelibeba,.kulitimiliza kusudi/mpango huo ni lazima "niliishi" ili liweze kutimia kama lilivyokusudiwa.
😆😆😆umekuwa mwalimu kashasha...Umepat
Congratulations!
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
OMG,.sheem darling jomonii🙈
kama hiyo ndio maana ya maisha kwako...There you are!OMG,.sheem darling jomonii
Umepata!!!Maisha ni vile ninavyoishi tu bhasi
"Enough of No Love"
Mzee wa chura upo...
Ewaaaaaaa iyo inaitwa Backup kick ball of defense forward in which Bashite is the Son of JIWEumekuwa mwalimu kashasha...
Meeèeeen com' ooon..😎😎anyway;around downtown tomorrow📲check"t"up"..
UmepataaLife is a bitch death is her sister...lilywyne
However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Umepata
Umepata
Umepata1.Kumuabudu MUNGU
2.Kusaidia wengine kwa kwa nafasi niliyo nayo ama kidogo nilichojaaliwa
3.Kupenda&Kupendwa kwa dhati.
4.Kusifiwa mazuri yangu.
5.Kuheshimu&Kuheshimiwa
6.UKWELI! UKWELI! UKWELI!
Hivyo hunipa furaha na maana thabiti ya MAISHA.