Kuna tofauti ya video quality kati ya 1080i na 1080p. Hizo i na p zinawakilisha tu technology ya kudisplay hiyo video. "i" ni interlaced scan na "p" ni progressive scan. Katika interlaced scanning idadi ya video frames inakuwa nusu ya ile ya progressive scanning. Kwa hiyo p ni inatoa picha bora kuliko i. Siku zote kilicho bora zaidi katika teknologia ni cha karibuni zaidi.