Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,977
Hivi kumbe ni mtaalam hivi?
ulifkiri mi mtaalam wa sriisam tu?
Hivi kumbe ni mtaalam hivi?
Toria acha hizo bhana!!!!! apo umekimbia swali langu ukapandikiza lingine juu yake.
Ngoja na mimi niweke swali pandikizi... kuna tofauti yoyote ya kimatiki au kidhana kati ya kufanya mapenzi, kufanya ngono na kujamiana au pengine kufanya tendo la ndoa?
Have Sex is a phrase that describes physical connection that leads to Sexual Pleasure, release and gratification.
Making Love is all of this, but also emphasizes the deep emotional connection, affection and shared bond that develops between caring lovers. While making love is also to do with the state of mind, having sex is more about the physical relation.
Yaani wabongo mda wote wanafikiria ujinga ujinga
Kwanza unambie kama wewe ni Brazil au Cameroon....
Cameroon(ila sio yule wa kwa bi Mkubwa)
Habari ipo kwenye hii link:
Have Sex vs Make Love - Difference and Comparison | Diffen
Wana JF tukiazima mawazo toka sehemu nyingine angalau tuonyeshe hivyo. Vinginevyo yataonekana ni ya kwetu. Hapo itakuwa ni tatizo
Eti sriisam ndio nini?
wacha wee
Baba paroko bora hata usijue maana akikujilisha hapa utapofuka macho.
Mmmh.vyote s kugegedana tu
..em kutana na mtu, akutongoze, umpe tunda alafu awe 'anakutaka' siku akikisikia...asipojisikia hata SMS hupati...
..alafu kutana na huyu kijana, akutongoze, akutoe out za hapa na pale, akupe vizawadi mara kwa mara, siku ya kula tunda akupeti kwa vijisms vya mahaba, akuletee Ñоколад...ndo mmegane
yupi utamfurahia zaidi..
Habarini za leo ndugu zangu!
Eti ni nini tofauti kati ya making love na having sex?
Unaweza kuwa busy making love kumbe mwenzio is just having sex..
Cameroon(ila sio yule wa kwa bi Mkubwa)
Here we go!!!!!!!!!!
Having Sex is besically to have intercourse for self pleasure (self gratification) while making love is selfless.
Making love consist of positive things you say and do (From your heart) as a routine effort to please NOT yourself but your partner (without the goal of self gratification) satisfaction is mutual.
However having sex can be selfish in a sense, because of the goal of self satisfaction/gratification and separation (japo sio lazima) there after. because there are also some relationships existing in the fake name of LOVE while thy are just for self desires of one among the couple or both sometimes.