habarini za leo ndg zangu!
eti ni nini tofauti kati ya making love na having sex?
habarini za leo ndg zangu!
eti ni nini tofauti kati ya making love na having sex?
making love is more sensual and there is emotional connection.....
having sex is just driven by lust no emotion, not much meaning just like one night stand
Hiyo ya pili inakuaga nzuri sana....na mara nyingi inakuaga haisahauliki, ni kama adventure flani. inapendeza kama hamtarudia tena.
duh asanteni sana maana nazidi kupata tofauti kati ya terms hizo mbili....
Having sex ni kuvigonganisha vikojoleo ili mradi tu wazungu watoke. Making love vikojoleo vinalengana baada ya mambo mengi kufanyika. Mitongozo, mihongano, midanganyano, matayarishano, kulambanamo, kupimanamo mioili, kulanamo mimate....
ulishawahi kuifanya hiyo...........
Kimsingi ni one meaning different words!!!!
Hivi kumbe ni mtaalam hivi?
Toria hebu fikiria mtu kaenda dukani kununua mdada kaenda naye huko, kafanya yake anaenda zake. naye huyu tutamrefer kama ''one meaning different words'' kati ya making sex na love. au mtu aliyebaka mtu au mnyamba etc?
Enhenhennhnnhenhe hapa naomba nivae miwani!hivi kuna kipimio kabisa kua sasa nnamake love au sasa nnahve sex by the way can you put those two words in swahili..
Have Sex is a phrase that describes physical connection that leads to Sexual Pleasure, release and gratification.
Making Love is all of this, but also emphasizes the deep emotional connection, affection and shared bond that develops between caring lovers. While making love is also to do with the state of mind, having sex is more about the physical relation.