What is tecnology behind this game

What is tecnology behind this game

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,577
Habari wakuu.

Kuna game moja nimewahi cheza kwenye simu jina lake nimelisahau iko hivi.. kwenye screen kunatokea karata nne tofauti tofauti... then inakuelekeza kuchagua karata moja.

Kimoyo moyo means haugusi mahali wala hautoi sauti then inakuambia uconcetrate kwenye hiyo karata uliyoichagua
then karata zote zinafutika inabaki ile uliyoichagua.

Sasa wakuu ni maujanja gani yametumika hapa ?
 
Simu zinakuja na sensor kaka. kuna sensor nyingi sana ambazo developer anaweza kuzitumia kufanikisha hilo. kwa haraka haraka hio itakuwa ni proximity sensor ambayo kazi yake ni kutambua kama kuna kitu karibu ya simu.

Hebu jaribu kukaa mbali na simu yako kama mita tatu hivi then angalia kama still itaweza kudetect unachoangalia
 
Ile ni mind game tu kiongozi. Hakuna cha sensor wala mazingaombwe. Ni kucheza na akili yako tu.

Turudi kwenye hoja.

Ukitizama kwa makini utagundua hakuna karata hata moja kati ya zile ulizo ambiwa uchague hapo awali imejirudia. Zile zote karata za kwanza hupotea na unapewa karata mpya kabisa.

Angalia kwa makini hakuna karata itakayojirudia
 
Upo sawa kabisa Ginner, na mimi nimegundua hilo ila lazima uwe makini kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom