What is so special kwa hawa jamaa?

What is so special kwa hawa jamaa?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Sijui kwanini sio sisi!
attachment.php
 
Attachments

  • olympics714.jpg
    olympics714.jpg
    33.7 KB · Views: 762
ngoja tupate mwalimu wa riadha toka Jamaica labda tutaongozamo na sie............
 
Unadhani hawa viongozi wanataka record zao zivunjwe?wanataka wabaki wao tu kwamba ndo waliowahi kuiletea Tanzania medali. Mi nadhani tatizo liko kwa viongozi wa riadha Tanzania!!

Nsuri viongozi wa riadha - na michezo mingine - pamoja na wanamichezo wenyewe wamekosa mwamko wa kufanya jitihada. Udhamini nao ni wa kusuasua. Nadhani kila kitu kwenye masuala yamichezo tanzania iko gonjwa.
 
Last edited by a moderator:

siomichezo tu kilakitu sisi ni hovyo.
 
Last edited by a moderator:
tatizo l awatanzania, maneno ni mengi kuliko utendaji, pili tunachuki binafsi, wivu na ushirikina kwa yeyote mwenye kipaji au anaeonekana anaweza kufanya jambo, lazima upigwe vita, watu wanaogopa hayo, mkiacha hayo tutapata maendeleo.
 
Tusisahau UBAGUZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.... madamu mtoto wa kigogo hashiriki katika michezo !! basi yanini kuidhamini
na kuighharamia ? SitutaAlikwa tutawaAkilisheni (viongozi 21 na mchezi mmoja) !! allowance ngapi?
 
Unadhani hawa viongozi wanataka record zao zivunjwe?wanataka wabaki wao tu kwamba ndo waliowahi kuiletea Tanzania medali. Mi nadhani tatizo liko kwa viongozi wa riadha Tanzania!!
Nafikiri mkuu upo sahihi. Naunga mkono hoja.
 
Mpaka ile kauli aliyoisema mwinyi tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ipate mganga wa kuiagua
 
You know each country has a blessing in their people,land,etc.Sasa kwa Kenya wana wanariadha wazuri.Ukienda Japan pia utakuata watu wa ni I.T Geeks.Sasa hata sisi Tanzania tuba baraka katika ardhi coz tuna madini,mbuga za Taifa etc.Nadhani hata sisi tungeviyunia vizuri nadhani kila mtanzania angenufaika.Kisha mataifa mengine yangeanza na sisi kutuuliza "What special things do we have?"....
 
Back
Top Bottom