What is PING? Why do we PING Network?

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Habari wakuu wa hili Jukwaa,

Naomba kujua Maana halisi ya PING kama inavyotumika kwenye Network haswa INTERNET.

Na Je! kwa nn huwa tuna-PING Network.

Tafadhali mwenye Uelewa kuhusiana na Hili tafadhali naomba kujuzwa.

Asante.
 
Ping ni program inayotuma ICMP echo request kwa host fulani kisha inasubiri ICMP echo response, unatumika kucheki kama kuna connectivity kati ya ends mbili za network na pia kwa kuangalia muda inaochukua kupata response inapima latency (aina moja ya spidi) kwenye network.
 
Ingekuwa ni vyema ukaigoogle kuna source nyingi watakuelekeza vizuri sana kuliko sisi tutakavyokueleza
 
Habari wakuu wa hili Jukwaa,

Naomba kujua Maana halisi ya PING kama inavyotumika kwenye Network haswa INTERNET.

Na Je! kwa nn huwa tuna-PING Network.

Tafadhali mwenye Uelewa kuhusiana na Hili tafadhali naomba kujuzwa.

Asante.

Mimi niko tayari kukueleza kuhusu pingi na command zingine ,ila under one condition
Umetaka kujua kwanini uwa tuna PING?
Mimi nataka nijue wewe unajua nini kabla sijakusaidia kwani naweza andika vitu kumbe nikawa nakupoteza.
Please wewe inaonekana ushaitumia hiyo commanda,swali kwako unapopiga hiyo command unataka kujua nini?(kumbuka mi mtanzania,ukimwuliza swali anakuuliza swali kwanza)Au result za ping command wewe zinakupa information gani networkwise?
 
There U are "Aqua" hayo Maswali uloniuliza ndio nnataka kujua kupitia Maswali yako. Tafadhali Aqua naomba unielimishe.

I'Mobile very keen wanna know about this. HELP.

Thanks.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
There U are "Aqua" hayo Maswali uloniuliza ndio nnataka kujua kupitia Maswali yako. Tafadhali Aqua naomba unielimishe.

I'Mobile very keen wanna know about this. HELP.

Thanks.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nimekuuliza makusudi kama umeshindwa kunijibu pole,ushauri wangu kama unafanya kazi au uko unasoma aliyekufundisha hiyo command na hakukuelezea inataumika wapi inawezekana hajui au hakutaka ujue.
Lugha uliyotumia imeonyesha huwa unaitumia hiyo command "Na Je! kwa nn huwa tuna-PING Network.".Nilichoshangaa huwa unatumia command bila kujua inafanya kazi gani au result zake zinakupa information gani.

Desa hili hapa:
1.It is often believed that "Ping" is an abbreviation for Packet Internet Groper, but Ping's author has stated that the names comes from the sound that a sonar makes.
2.
Ping is a computer network administration utility used to test the reachability of a host on an Internet Protocol (IP) network and to measure the round-trip time for messages sent from the originating host to a destination computer. The name comes from active sonar terminology which sends a pulse of sound and listens for the echo to detect objects underwater.[SUP][1][/SUP]
Ping operates by sending Internet Control Message Protocol (ICMP) echo request packets to the target host and waiting for an ICMP response. In the process it measures the time from transmission to reception (round-trip time)[SUP][1][/SUP] and records any packet loss. The results of the test are printed in the form of a statistical summary of the response packets received, including the minimum, maximum, and the mean round-trip times, and sometimes the standard deviation of the mean. It should be noted that Ping does not evaluate or compute the time to establish the connection; it only gives the mean round-trip times of an established connection with an open session.

Kwa hiyo ping inatumika kuangalia kama kuna mawasiliano kati ya network device moja na nyingine,cha muhimu ziwe zina ip address(kumbuka ukiping website ARP(Address resolution Protocol) inakupa the corresponding ip address),inatoa wastani wa muda unaotumika kwenda na kurudi na pia inaonyesha kama kuna packet loss percentage wise.
Kama hakuna connection haisemi tatizo liko wapi,in that case tunatumia command nyingine kujua tatizo liko wapi.

Search online jisomee.
 


Thanks for your information. I got more details about ping. I have checked my website ping test results from this site WhoisXY.com
 

Maelezo yako nimeyapenda uko very pofessional. Kwa nyongeza tu ni kwamba pia unaweza pia kutumia tracert (windows) au traceroute (linux), ku-check connectivity between two far ends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…