What is it with Tanzanians and the statement 'roho mbaya'?

Sasa kama si kweli mna roho mbaya ni kwanini mmewaaibisha watanzania kwenye page ya Rooney namna ile kwamba hawajui English and other sorts of shit

BTW hii iliwathalilisha nyie zaidi mlionekana inferior, lame, dependant, enslaved, dumb, cheap, myopia kwa International people hata comments za wasio East Africans zilikua on Tanzanian side.

Lakini watanzania wao waliwashangilia sana gormaia kama team ya Tanzania bila kujali walizishuhulikia team zetu nafikiri kama ingekua ni vice versa Kenya msingeipa support Tanzania,

Mna Roho Mbaya and that's your DNA

Kwani mkiambiwa kweli hamjui English ina maana tuna roho mbaya, tatizo hampendi ukweli, mnapenda kuficha ficha na anayethubutu kuwaambia ukweli mnamuona roho mbaya.
 
English my foot, you are arguments reflecting your thinking capacity sasa eti Rooney njoo Kenya sababu Tanzania hawajui English does that make sense? Unajua English kumzidi Rooney?

Eti kutuambia ukweli sasa kama hatujui English what makes difference by pointing us out that we don't know that tulikuambia utukumbushe kama hatujui English that's so cheap. Childish.
 
Kama haujui English basi wacha kubishana na wanaojua English, baki huko uswazi na majungu yako.
 
Kama huwajui watanzania hawafake life kwa Mzungu sio tu kiswahili hata tuliwapeleka kwa mamantilie kwenye vibandaumiza huko uswazi na they enjoyed a lot,
hqdefault.jpg

hqdefault.jpg

[HASHTAG]#mzunguhafuatiEnglishaAfrica[/HASHTAG]
 
Kwani mkiambiwa kweli hamjui English ina maana tuna roho mbaya, tatizo hampendi ukweli, mnapenda kuficha ficha na anayethubutu kuwaambia ukweli mnamuona roho mbaya.
Kutojua English ni Kosa?
Mbona Rooney Hajui Kiswahili?
 
Kama haujui English basi wacha kubishana na wanaojua English, baki huko uswazi na majungu yako.
English is what language here on earth until you have a problem with each other aiseeeee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata ukijua English utabaki mweusi2 na utaitwa nyani na wenye lugha acheni kujipendekeza na lugha za watu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kutojua English ni Kosa?
Mbona Rooney Hajui Kiswahili?

Rooney hajui Kiswahili maana hakina umuhimu wowote zaidi ya dezo za hapo kitaani Dar, mwarabu alikibuni na kukitelekeza.
Lakini English ndio lugha ya dunia, leo hii mifumo yote unayotumia hata sheria na teknolojia zote zimetokea kwao huko. Mswahili hadi uwe na uwezo wa kutengeneza hata sindano basi hapo utakua na cha kujishaua, lakini sio hapo unaliwa hadi makinikia, huna lolote halafu unajidanganya kwamba upo huru kisa hujui English.
 
Kuna jamaa wa kikenya aliajiriwa kwenywe company ya rafiki yangu. Kafanya kazi mwaka wa kwanza wa pili kakopa pesa na kuomba amepata shida nyumbani kwamba atakuwa anakatwa kwenye mshahara. Jamaa kaenda moja kwa moja mpaka hii leo hajaonekana. Wakenya ni wezi wana roho mbaya.
sio wakenya wote wana roho mbaya. Utakuja kuolewa na Mkenya. Nimetabiri hilo
 
Kwani mkiambiwa kweli hamjui English ina maana tuna roho mbaya, tatizo hampendi ukweli, mnapenda kuficha ficha na anayethubutu kuwaambia ukweli mnamuona roho mbaya.
Kwani kuujua English ndio kipimo cha akili yako usiwe na upeo finyu unaweza kuongea lugha yoyote na ukawa upo timamu kuliko nyie mnajiona kujua English kuliko watz lakin mapunguani flan hivi sasa nini kilichowauma na kuwawasha mpaka mkaanza kuwakashfu watz kny page ya Rooney mnambwela sana nyie

Na roho mbaya zenu mtawaonea wivu sana watz lakini soon tutafika na tutawapita mbali sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Someni vijana,kutojua English si ishara ya ujanja kwenye dunia ya sasa.Kama unajua lugha kadhaa inakuwa plus kwako.Mnawanyima hata watoto wenu fursa ya kujifunza lugha zingine kisa eti pia nyie mnajua kiswahili tu!Tz,kichwa halisi cha mwendaazim!
 
Kwani kuujua English ndio kipimo cha akili yako usiwe na upeo finyu unaweza kuongea lugha yoyote na ukawa upo timamu kuliko nyie mnajiona kujua English kuliko watz lakin mapunguani flan hivi sasa nini kilichowauma na kuwawasha mpaka mkaanza kuwakashfu watz kny page ya Rooney mnambwela sana nyie

Na roho mbaya zenu mtawaonea wivu sana watz lakini soon tutafika na tutawapita mbali sana

Post sent using JamiiForums mobile app

Jua English wacha kujitetea hapo, jifunze zaidi ya lugha moja, halafu nyie mlivyo watumwa hata lugha zenu za asili wengi wenu hamzijui. Na hata Kiswahili chenyewe bado likija suala la uandishi wake huwa mnaandika majanga. Yaani mnaishi kama watumwa, hamna lugha hata moja mnaifahamu na kuitumia ipasavyo. Sisi tunaongea lugha zetu za asili, pia tunatumia Kiswahili na English.
 
Kwani kuujua English ndio kipimo cha akili yako usiwe na upeo finyu unaweza kuongea lugha yoyote na ukawa upo timamu kuliko nyie mnajiona kujua English kuliko watz lakin mapunguani flan hivi sasa nini kilichowauma na kuwawasha mpaka mkaanza kuwakashfu watz kny page ya Rooney mnambwela sana nyie

Na roho mbaya zenu mtawaonea wivu sana watz lakini soon tutafika na tutawapita mbali sana

Post sent using JamiiForums mobile app
Tumeshayapita haya mamburura hayatupi shida saivi ni wateja wetu :D:D:D
 
Back
Top Bottom