What is it with Tanzanians and the statement 'roho mbaya'?

Watanzania nimeishi nao na hakuna jamii yenye roho mbaya kama hawa watu, japo wanachekeana na kuamkuana kama ndugu, lakini kimya kimya wanaoneana wivu balaa na ndio maana huwa hawaendelei wapo maskini tu. Huwa wanapenda kutuita roho mbaya kwa sababu sisi tuna hulka ya kuweka mambo wazi ilhali hao wana mazoea ya kuchekeana huku wakiwa na majungu kweli kweli.

Asikuambe kitu mtu yeyote, mimi nimewaona kwa macho yangu, kwanza wanaoneana wivu sana, Mtanzania akianza kutoka kimaisha a kufaulu kwa jitihada zake wanamsema kwa chuki za kiajabu halafu wakikutana naye wanaongea kwa raha na kistaarabu.
Nasikia Everton na Gor mahia wamechezea game yao Kenya..
 
Tanzania ni wajamaa, kumnyima maji mtu aliyeomba maji ni roho mbaya kwa sababu hujamjali, umemnyima maji wakati ana kiu. Kenya ni mabepari, kumpa maji mtu aliyeomba maji ni roho mbaya kwa sababu hujamjali, umemnyima nafasi ya kusoma somo la kujitegemea. It's all relative.
True. Lakn there are some aspects of socialism in our society as well. Heck I do not believe that kindness and willngness to help one in need is inherent only in the ujamaa societies as opposed to tge ubepari societies. Empathy is an intrinsic attribute, we are all wired to act that way. So, in Kenya, nobody would refuse u a glass of water if u ask for it.

Btw....

Charitable giving by country: who is the most generous?

Ours is the most generous country in the continent according to that list, tho it really intrigues me how they come up with such findings.
 
And then you should know that's one of the different btn Kenya &Tanzania.
By the way we're good jokers and love having fun of someone or something else, you Kenyans are serious 24 seven and 'roho mbaya in reality' that's why you find the word 'roho mbaya' humiliating or offensive because it's truly you're
 
Replies to Yusto's comment on
Wayne Rooney 's post.
View post
Yusto Damian Wijnaldum
Wakenya mna roho mbaya sana hiyo english iwasaidie kuwaondoa alshabab hapo kenya
Like · 9 · Report · Yesterday at 22:28
John Gachoki
Brathe nini baya?Usaidiwe aje au nikufunze kiingereza?
Like · 2 · Report · Yesterday at 22:45
 
True. Lakn there are some aspects of socialism in our society as well. Heck I do not believe that kindness and willngness to help one in need is inherent only in the ujamaa societies as opposed to tge ubepari societies. Empathy is an intrinsic attribute, we are all wired to act that way. So, in Kenya, nobody would refuse u a glass of water if u ask for it.

Btw....

Charitable giving by country: who is the most generous?

Ours is the most generous country in the continent according to that list, tho it really intrigues me how they come up with such findings.
"Charitable giving" itself can be an act of taking.

For example. Taking respect.

Depending on how it is done.
 
Watanzania nimeishi nao na hakuna jamii yenye roho mbaya kama hawa watu, japo wanachekeana na kuamkuana kama ndugu, lakini kimya kimya wanaoneana wivu balaa na ndio maana huwa hawaendelei wapo maskini tu. Huwa wanapenda kutuita roho mbaya kwa sababu sisi tuna hulka ya kuweka mambo wazi ilhali hao wana mazoea ya kuchekeana huku wakiwa na majungu kweli kweli.

Asikuambe kitu mtu yeyote, mimi nimewaona kwa macho yangu, kwanza wanaoneana wivu sana, Mtanzania akianza kutoka kimaisha a kufaulu kwa jitihada zake wanamsema kwa chuki za kiajabu halafu wakikutana naye wanaongea kwa raha na kistaarabu.

We have peace nyie endeleeni na alshabaab wenu, kama hayo ndo maendeleo sisi hatuyataki
 
Ndiyo, Watanzania wanajiona inferior dhidi ya Wakenya na ndiyo maana wanachukia Wakenya ni kama defense mechanism fulani hivi, sijui ni kwa nini labda ni sababu za Kihistoria, hivyo wala usiumize kichwa!
Hatujioni inferior ila we truly hate who you are, mnademand vya kwetu na kuclaim everything ambacho ni chetu. Sisi wastaarabu bhana, tunachukia sana wagomvi that's why tunahitaji kuwapush away
 
"Charitable giving" itself can be an act of taking.

For example. Taking respect.

Depending on how it is done.

True that. But Kenyans do not merely give with tge expectations that they would profit later from that act of charity. " Tenda wema, nenda zako" is a very popular phrase here which points to that attitude.

Any benefits that come with the act of giving is only fortuitous so to speak, too many probably do not even realize it.
 
Even the rep itself is payback.

So unless someone is giving anonymously, there is always something in it for the giver and the receiver.

Not that that is a bad thing.
 
Some wise guy once said to me that a good friend is someone who wants something from you! I never took it seriously but I have seen it proved right so many times! This days I always mistrust anybody who says stuff like,ill do it for you,for free!,or I just want to do it for you!Am always asking,WHY?My real friends are those that start,I want you to do this for me.In return I ask the same from them!
 
Watanzania nimeishi nao na hakuna jamii yenye roho mbaya kama hawa watu, japo wanachekeana na kuamkuana kama ndugu, lakini kimya kimya wanaoneana wivu balaa na ndio maana huwa hawaendelei wapo maskini tu. Huwa wanapenda kutuita roho mbaya kwa sababu sisi tuna hulka ya kuweka mambo wazi ilhali hao wana mazoea ya kuchekeana huku wakiwa na majungu kweli kweli.

Asikuambe kitu mtu yeyote, mimi nimewaona kwa macho yangu, kwanza wanaoneana wivu sana, Mtanzania akianza kutoka kimaisha a kufaulu kwa jitihada zake wanamsema kwa chuki za kiajabu halafu wakikutana naye wanaongea kwa raha na kistaarabu.
Sisi maskini lakini tunashukuru Mungu hatuna slums popote watu wakanya kwenye mifuko na kujaza njia nzima.Sisi hatupepesi macho tunatema nyongo tu.
 
Stupid, una roho mbaya sana, kwa nini usitumie kiswahili, unatumia kiingereza ili iweje???, roho mbayaaaaa km sura zenyu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Baba we kiboko unaonekana unaroho nzr kweli huyu mkikuyu na kingereza chake uchwara kama katusomesha roho mbaya tu imemjaa kichwani

Big Baba

Can you please translate this sheet of yours into Swahili otherwise we are not going to comment anything. It seems UNAROHO MBAYA SANA thus y you don't want us comprehend ur Msg.
Kweli anaroho mbaya kweli huyu kibaki

Big Baba

Watanzania nimeishi nao na hakuna jamii yenye roho mbaya kama hawa watu, japo wanachekeana na kuamkuana kama ndugu, lakini kimya kimya wanaoneana wivu balaa na ndio maana huwa hawaendelei wapo maskini tu. Huwa wanapenda kutuita roho mbaya kwa sababu sisi tuna hulka ya kuweka mambo wazi ilhali hao wana mazoea ya kuchekeana huku wakiwa na majungu kweli kweli.

Asikuambe kitu mtu yeyote, mimi nimewaona kwa macho yangu, kwanza wanaoneana wivu sana, Mtanzania akianza kutoka kimaisha a kufaulu kwa jitihada zake wanamsema kwa chuki za kiajabu halafu wakikutana naye wanaongea kwa raha na kistaarabu.
It doesn't sound like Tanzanian at all unapakazia.try again fella

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama si kweli mna roho mbaya ni kwanini mmewaaibisha watanzania kwenye page ya Rooney namna ile kwamba hawajui English and other sorts of shit

BTW hii iliwathalilisha nyie zaidi mlionekana inferior, lame, dependant, enslaved, dumb, cheap, myopia kwa International people hata comments za wasio East Africans zilikua on Tanzanian side.

Lakini watanzania wao waliwashangilia sana gormaia kama team ya Tanzania bila kujali walizishuhulikia team zetu nafikiri kama ingekua ni vice versa Kenya msingeipa support Tanzania,

Mna Roho Mbaya and that's your DNA
 
Back
Top Bottom