Ngulyati,
Sina mbavu hapa nilipo! Umenkumbusha jamaa katika ununuzi wa nguo za mitumba akanunua T~shirt imeandikwa "MORTUARY ATTENDANT" na akatinga nayo kwenye sherehe anadunda mwanamme! Watu wakawa wanamshangaa na kumkodolea macho…!Kwa akili yake akawa anafikri watu wana admire alivopendeza……😁😁!
Mnhh Public speaking ni tatizo la wengi,hata humu mnajidai sababu mko anonymous..mnatype mkiwa kwenye comfort zones zenu...subiri mpewe live audience na Microphone tuone ujasiri wenu..hahaaaaaaaaaaaaaaaaa ...mimi niko kama yeye Professor Kabudi..ndio maana namuelewa viatu alivyovivaa lol
Nampongeza kwa ujumbe wake alio ubeba kuuwakilisha kwa majirani zetu kenya, ni ujumbe bora unaojenga ukiutafkari kwa makini, jinsi alivouwakilisha, jinsi tumjuavyo yeye hakubadilishi maana ya ujumbe husika.