What is going on here??

What is going on here??

avatar112676_2.gif

nimeipenda sana avatar yako
unaonaje shepu hiyo,naomba kuuliza kama hilo jina lako linauhusiano wowote na jeshi la zamani la anc ya south afrika.
 
LA not LY
Umeishi huko nn mbona sikukuona? lazima ningekuoa mrembo. Lakini ni LY bhana ambako ukienda kule walikokuwa wanachomea banian mbele kidogo unaikuta shule ya Msingi Changa ndani ya uzio wa ST. ANTONY CATHOLIC CHURCH.
 
Ndo hukuhuko...unione kwani naishi barabarani. LA stand for Local Authority, hilo jina toka enzi za ukoloni.
 
Boflo umerudi jamaa yangu, sasa tunakutegemea hasa na mavitu uliyokuja nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom