Siyo kila mtu amewahi kuiona au kuisikia hiyo acronym - CNFA. Kama unataka msaada toa kirefu chake ili usadiwe. Vinginevyo kila mtu anaweza kuipa maana anayoitaka. Kwa mfano, Cabbage National Farmers Association. Si CNFA?

I wanna Kill right now!........ulionenakana Dodoma wewe au ni pacha wako.....(joke)............
Shukran Mkuu Ruge kwa kutoa mwangaza, pengine ndio maana sijajibiwa.............niliambiwa......wanajihusisha na some stuffs kuhusu kilimo Tanzania............
.........labda ningeweka wazi tokea mwanzo kuwa...........nahitaji kufahamu kuhusu shughuli zao hapa Tanzania.........i knew abt kui-google...........nilitaka kujua kama kuna baadhi ya wan JF wana taarifa zao............nataka kuunganisha dots.............