What is behind our Avatars!!!!! Just thinking aloud!

mi si unaona mpenzi wa YUTONG zinakata Scania kama wamesimama, yutong ni balaa na tusipoangalia soko la scania na kutengeneza michesesi ya malori itakwisha soko
 
my avatar?
hah hah hah!!!!

behind it?there vampaya...so NATISHA....naogopesha...:music:

there vampaya........!!!!!!!!!!!! oookk unanikumbusha binti mmoja mnenguaji wa Ngwasuma ajiita vampaya!! ar u the one, if yes bc kweli unatisha maana mauno yale yanazunguka kama feni la kijerumani!!!!
 
Mimi natamani kua kama huyo dada wa kwenye avatar yangu!
Rangi yake ya ngozi inanifanya nitamani rangi yangu ya asili niliyoichakachua kwa mkorogo.Nywele nilizoziweka dawa mpaka zimenyonyoka.Pozi lake linaloonyesha mtu wa kutafakari sana linanifanya nitamani na mie nisingekua mkurupukaji bali mtu anaetafakari kila hatua.Umbo lake linanifanya nitamani kupunguza huu mwili uliojazia kama pulizo!Nwy kwa leo inatosha...
 
Nilikuwa deployed Afghanistan, nimerudi. Kwa sasa niko kama Army Reserve lakini napiga mzigo at a local county/Sherrif office.
 
Mimi natamani kua kama huyo dada wa kwenye avatar yangu!Rangi yake ya ngozi inanifanya nitamani rangi yangu ya asili niliyoichakachua kwa mkorogo.Nywele nilizoziweka dawa mpaka zimenyonyoka.Pozi lake linaloonyesha mtu wa kutafakari sana linanifanya nitamani na mie nisingekua mkurupukaji bali mtu anaetafakari kila hatua.Umbo lake linanifanya nitamani kupunguza huu mwili uliojazia kama pulizo!Nwy kwa leo inatosha...
Hivi kumbe hata we muongooo aeNaomba unisamehe lakini napenda Kuweka wazi uko very similar na hiyoavatar yako.. khaaaa usini fanya nikaOorosdhesha kila kitu.. actually you lookWay hotter than you're avatar.
 
napenda jinsi denzel anavyo carry himself...

napenda the fact ni handsome but hajilegezi,wala kujali uhandsome
anajipeleka kiume ziadi

need i say more?????????
 
Mi ni shabiki mkubwa wa mashetani wekundu.Na ni mara chache sana wametuangusha.Na huyo babu hapo juu ndiye anayestahili sifa
 
Hivi kumbe hata we muongooo aeNaomba unisamehe lakini napenda Kuweka wazi uko very similar na hiyoavatar yako.. khaaaa usini fanya nikaOorosdhesha kila kitu.. actually you lookWay hotter than you're avatar.
Natamani siku moja uniambie haya yakiwa yana ukweli....till then acha niendelee kutamani nisichonacho!
 
I am delighted by very very good responses,.......waiting for more....
 
yangu niliweka baada ya kuona mnatusema sana kabila letu kua tuna miguu myembamba sana,ndo nikataka kuonyesha kuwa sio wote tuko hivyo so huo ni mguu wangu halisi,:happy:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom