Kwa siasa zetu tunakoelekea,itakuwa wakristo wanaleta mtu wao na waislam wao,hata hivyo tumekuwa tukifanya hivyo chini ya ccm rulling,sema hatuweki wazi kilugha na utaratibu ni kwamba wakristo na waislam hao ni wa ccm nec ,na mpango wao ni kubadilisha kila baada ya miaka kumi...nimefurahi mwananchi kama Mkandara akijali maslahi ya Taifa na kuweka udini pembeni na kumsapoti Dr Slaa.Nakubali ingekuwa vyema kwa upande wao wachague na wao mtu makini,Slaa ni Rais wa waislam na wakristo,ila si mbaya akipata msaada wa waislam ili kuindoa ile dhana ya udinii ambayo inaligawa Taifa....ccm wakileta udini watashindwa kwani wakristo ni wengi zaidi na kama wakidhani ccm haiwapendi ama haimpendi Slaa eti bcoz alikuwa father ama ni mkristu ambaye chama chake ni cha "wakristo"then watawapa kila sababu wakristo hao kusimama naye kwasababu ina maana kwamba ccm nacho ni chama cha waislam,na hapo ndo mgawanyiko wa kidini.Hata hivyo chama cha ccm kimekuwa kikitumia udhaifu ho kuwalaghai waislam,kuanzia kuundwa kwa BAKWATA hadi hili la mahakama ya kadhi..Kazi kwetu watanzania
Ndugu zangu waislam nawashauri msidanganyike kirahisi hivyo kama ambavyo tumekuwa tukiona wanasiasa wakifanya,kuvaa kibarakashia tu inatosha kumpa kura mwanasiasa kwasababu ameoyesha anajali uislam?Mrema alishindwa walimwibia kura,mwalimu mwenyewe mwanzoni mwa kampeni za Tanu alivaa kibarakishia ili luwavutia waislam,However i believe si lazima uwe msilam ili kujali maslahi ya waislam kwa viongozi wazalendo kama Dr Slaa na wengineo wengine wakiwa washa tangulia mbele ya haki....Mwalimu alifanya mambo mengi symbolically to bring the nation together,nuttin wrong with that,lakini wakija wengine na kufanya the same,haina maana they care about you,ndio maana mzungu alituwezea sana na kututawala,wao walikuja na kijifanya kama sisi kwa kuishi na kujifunza lugh na tamaduni zetu na sisi tukadhani wanatijali ndipo kibao kikageuzwa.....si lazima eti wakivaa kibarakishia ama hata kanzu kwamba watajali maslahi yenu,si mmeona ccm?
Same aplies to christians,si kila mtu anayejigamba ukristo anawapenda wakristo wenzake nk.
Watachoweka mezani kwamba watafanya nini kwa maslahi ya taifa ndiyo yana matter...Yani as a nation we will be successfull kama wote wakiwa na haki ya elimu,kazi nzuri nk,hakutakuwa na ubaguzi,na ukiwepo sheria kali zitungwe na ikibainika kuna mwenye kuleta ubaguzi wa kidini sheria ichukue mkondo wake.Si lazima mataifa ya kiislam ama kikisto yatusiadie ili tupate maendeleo.....Wao hawawapiganii nyie wala watoto wenu kwasababu tu ninyi ni waislam wema,no! wana interesst zao za kitaifa,na sisi tuna zetu,taifa letu ni la wote,mataifa yao wao ni ya kiislam ama kikiristo,na kama wewe ni msilam sana ama mkristo kwanini wasiwahamishie huko ama watoe hifadhi kwa mamia ya raia wasiokuwa na hatia wakiuwawa?sasa si mnaona utofauti hapo?
Wenzetu wanapigania territories na ego,mwarabu akitaka utamaduni wao uwe superior,wakristo nao na jews na hata nazi!
Dini za wenzetu ni tamaduni zao ndugu zanguni,tamaduni ambazo zimekuwa popular kwasababu zilitangazwa in any means necessary including wakristo crusaders na waislam jihadists,kwa sababu dunia imeba dilika,mbinu nazo zimebadilika,za kisiasa na kiuchumi,yani pesa with strings attached,no free lunch ndugu zanguni.Mkitaka maendeleo ni maslahi ya taifa kwanza asiwadanganye mtu mtaendelea kwa kupigania tamaduni za wenzenu na maslahi yao na mataifa yao,waingereza utaona waliitawala dunia na ndio maana lugha yao inatumika almost everywhwre,ingekuwa ni maasai walitawala,basi ni kimasai kingekuwa popular nk
Tulipata uhuru lakini bado tunanyeyekea wakoloni wale wale tuliowakimbiza, kwa mambo kama ya common wealth nk,ni utumwa voluntarily,ila kwasbabu manyapara sasa ni viongozi wetu wenye suti wenye kuuza rasilimali kasoro watu!Basi ndo utofauti.Wao wana mamilioni AKA "vijisenti" vya wananchi kwenye akaunti huko nje!Sasa ina maana kuwa ziko nyingi ambazo hatujui na kauli ile ilikuwa ya kuwashtuwa wenzake kuwa mkinilima nitataja hayo majisenti yenu na kuprove kuwa vynagu ni vijisenti tu!