What If

What If

armando78

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
45
Reaction score
2
itakuwa vp endapo ndoa ya jinsia moja itapitishwa tanzania na waheshimiwa jaman
 
ipitishwe mara ngapi? mbona waheshimiwa wanajua magerezani zipo na wanafumbia macho tu.

kama UGANDA wananyimwa misaada kwa kupinga ndoa hizo je wanaopewa misaada inamaanisha nini.
 
ipitishwe mara ngapi? mbona waheshimiwa wanajua magerezani zipo na wanafumbia macho tu.

kama UGANDA wananyimwa misaada kwa kupinga ndoa hizo je wanaopewa misaada inamaanisha nini.

nimeyapenda yale aliyosema mugabe to obama
my god nchi yaelekea wap?
 
Kichwa cha uzi huu ni kichina au kingereza? Au ndio div 5? Sielewi elewi! Maelezo machache bado mtu anakurupuka kuandika kama ingekuwa hotuba ingesomeka? Kweli elimu yetu imefariki!
 
Imesharuhusiwa kimyakimya bola tamko,sasa ni.mlango wa laana umefunguliwa ndani ya nchi yetu,watanzania bila kujali dini zetu,hebu tumuombe Mungu maana hukubtunapoelekea si pema
 
Back
Top Bottom