What if?

What if?

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,062
Inakuwaje Kama umeamka asubuhi ukajikuta maumbile yako ya Siri yamebadilika? Binti umekuwa dume lenye mshedede wa haja, na dume umekuwa kabinti mwenye sauti nyororo na chuchu Kama embe dodo/ng'on'o na kishuzi cha uchokozi! Utalia au kuchekelea?!
 
duh... kudadeki!

nimejiangalia kwanza kama dushe lipo!

lisingekuwepo ningecomment!
 
kwa wanawake faida maana hakuna haja ya kuiwaza leba tena......ila midume weeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom