Yanini yote hayo
tena wengi sana linasaidia kuweka vizuriDah! Hivi kuna wanao-fake eeeeh! Aiseeeeee. Yaani tacko zuuuuri kumbe kiuhalisia pasi.
sasa tukiingia sehemu sehemu tukakuta pasi badala ya kichuguu si stimu zitakata mkuu.kutu-impress sisi:-(
kwani mkia unaliwa miss chagakwa ajili ya kuongeza attention loh ukipita ukiwa bapa amtuangaliii sasa tukiweka hayo masponchi duh macho yote kwangu loh sponchi linaraha yake babu eeh.... Uzuri wa nyumba chooo... Utamu wa kondoo mkia
sasa tukiingia sehemu sehemu tukakuta pasi badala ya kichuguu si stimu zitakata mkuu.
dah tunakufa makusudi.hata hivyo navyo vitamu sana bhanaNdio tunavyoibiwa hivyo Mkuu:-(
hahahaaaaa hilo jisponchi la hatar looo
Unalivaa kama shosti au...!?