Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,434
- 7,094
Aliwahi mate indirect!Hakuwahi
Aliwahi mate indirect!Hakuwahi
Sack natambua vyema kwamba sehemu yote ya pwani ilihodhiwa na waarabu wa Oman ila pia nataka utambue kuwa baada ya wazungu kuja Africa sehemu hiyo ya Zanzibar ikijumuisha Pemba ,Unguja na Mombasa ilimilikiwa na Waingereza na tena si baada ya kuporwa ila kwa makubaliano maalum yaliyofanyika huko jijini Berlin Germany
Heligoland Treaty ya 1890 kati ya Germany na Britain ndio iliratibu makubaliano ambapo Britain watakubali kuichukua Zanzibar na Pwani yote ila wakawaachia Germany Tanganyika pamoja na baadhi ya nchi za Africa kama Togo n.k.
Hivyo basi baada ya vita ya kwanza ya dunia na Germany kuporwa makoloni yake yote na mengi yakiwa chini ya usimamizi wa Uingereza haikuwepo namna ya kuifanya Mombasa tena iwe sehemu ya Tanganyika bali muingereza aliifanya iwe sehemu ya Kenya
Vip kuhusu Morserby treaty mkuu..Heligoland Treaty ilifanyika kati ya ujerumani na Uingereza. Mkataba huu uliweka makubaliano kwamba Zanzibar iwe nchi huru baina ya mataifa haya mawili. Kwamba mwingereza au mjerumani ana uhuru na haki sawa ya kuingia Zanzibar na kufanya chochote. Na hii waliifikia sababu ya kiulinzi zaidi. Zanzibar iko sehemu ya kimkakati baina ya mwingereza kenya na mjerumani Tanganyika. Na hapo kupitia hiyo treaty tunaweza kujifunza kwanini Mwalimu alipambana sana ili kufanikisha muungano. Ni historia ndefu toka zamani huko.
Hahah kwaniniMombasa!
Lalalaaa.... bora ilivyobaki vile ilivyo....
Naomba uisome vizuri Heligoland TreatyHeligoland Treaty ilifanyika kati ya ujerumani na Uingereza. Mkataba huu uliweka makubaliano kwamba Zanzibar iwe nchi huru baina ya mataifa haya mawili. Kwamba mwingereza au mjerumani ana uhuru na haki sawa ya kuingia Zanzibar na kufanya chochote. Na hii waliifikia sababu ya kiulinzi zaidi. Zanzibar iko sehemu ya kimkakati baina ya mwingereza kenya na mjerumani Tanganyika. Na hapo kupitia hiyo treaty tunaweza kujifunza kwanini Mwalimu alipambana sana ili kufanikisha muungano. Ni historia ndefu toka zamani huko.
Kivipi mate nielezeAliwahi mate indirect!
Angalia tena mate...Kivipi mate nieleze
Huo ni mkataba kwa ajili ya kukomesha biashara ya utumwa uliofanyika mwaka 1822 kati ya Seyyid Said na muwakilishi wa waingereza (kwa niaba yao)aliwakilisha Mauritius!!Vip kuhusu Morserby treaty mkuu..
Naomba uisome vizuri Heligoland Treaty
Mombasa ni kipande cha Zanzibar... Wa Mombasa wanajua hiloNauliza tu...
Ni kweli waasisi wetu waliwekewa mt Kilimanjaro na Mombasa mezani? Kwamba ukichagua mt Kilimanjaro unakosa Mombasa port. Ukichagua Mombasa port unakosa mt Kilimanjaro.
Mkakichukue bas....Kama n Cha zanzibarMombasa ni kipande cha Zanzibar... Wa Mombasa wanajua hilo
cha kwtu chenyewe tumekigawaMkakichukue bas....Kama n Cha zanzibar
Tanganyika n bara mbali na kisiwa cha mombasaMbombasa n bara si kisiwa mkuu
Asante mkuu, kama ndivyo ilivyo nimeweza kuhisi ni kwanini Mwalimu aliungana na Zanzibar. Lakini ikikupendeza hapo tafadhali funguka zaidi tuelimikeNdio hivyo mkuu, mjerumani alimuachia mwingereza Zanzibar ili aweze kutawala vizuri pwani ya kenya na kenya in general. Ila bado mjerumani alikuwa na access ya kuingia Zanzibar.
Jibu swali, hapana unakubali au unakataa?Hapana mkuu
Mi mwenyewe nshasahau.......hivi muingereza alifika pwani yoyote.....?....mreno yeye ilikuwaje......maana nilisikia alikuja pia.....uzee huu.....