Ni bora hata ikawa hivyo kuliko kuwa ni mpango washetani.Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Peleka us3nge mbali.Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Mange angekuwa gov agents first of all few day before maandamano ange dissapear or kuchange msimamo.Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Kwamba kupinga utekaji, ufiraji, mauaji, wizi wa uchaguzi, ufisadi, na kudai Katiba Mpya... siyo sababu zenye tija??hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika,
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu
Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
kwan anaeangaishwa ni mange au weweMnajidanganya walio andamana ni vijana wa Kitanzania sio Mange. waliochoma vitu sio Mange ! mnatafuta mtu ambaye kuna watu mamilioni ambao wanajitambua kesho atakuja Mange mweingine. Tatizo ni HAKI sio Mange wala Lissu, wala Sarungi au Heche ni HAKI. Kama hii hamuilewi watoto hawa watachoma meli ambayo wote tupo
nlioona na nkakupuuza kwa sababu umeshindwa kwenda ata online kuuliza kama qr code inaweza kufutwaJana nilikuuliza hili swali kwenye uzi wako ukakwepa .
Haya naliuliza tena hapa .
Ilikuwaje e-receipt ya haya manunuzi ilifutwa QR code yake kwenye tovuti wa TRA masaa machache baada ya kuwekwa wazi?
View attachment 3497960
Boss kama hiki ndicho ulichofikiri bila external influence yoyote,basi jitambue rasmi una uwezo mdogo sana wa kufikiri...yaan unafananisha tukio la Sept 11 na tukio la maandamano ya 29th...are you serious??Hivi hata hizo research zinazochambua 9/11 consipiracy theories sijui hata kama umezisoma aisee?...Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu