Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,025
Habari wana g.t.
Siku ya leo nimeona ni muhimu ku-share na great thinkers hiki kitandawili ambacho nimejiuliza kwa miaka mingi bila kupata hitimisho.
Kitandawili hicho ni"what if life is a dream and death Wakes Us all up" hili mjadala uwe mpana zaidi ni bora tukatumia lugha zote hasa hasa kiswahili na kiingereza.
Mtazamo wangu:
Kwa kuwa binadamu ameshindwa kutofautisha between reality and illusion au life and dream.Je uhalisia ni upi ambao binadamu anauishi ni huu tulikuwa nao muda huu au ni ule tunao upata baada ya kulala?
Just imagine after all these life struggles; going to school,working around the clock.Finally you die and realise you have been slept but awake now........what would our reaction be