Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Chepuka tu ila yakikukuta usije ukaanza kulia na wewe "ooh alinirubuni mara 12"
Teh teh..Mi kurubuniwa napenda ujue...
Chepuka tu ila yakikukuta usije ukaanza kulia na wewe "ooh alinirubuni mara 12"
Heaven Sent hiyo #4 vipi kwanza?..umeikubali??
Mzima< naomba unitagie zombie apite hapa.
Safi sana kama mnaelewa..Yeah..commitment haiwezi kusahaulika kwake na kwa familia kiujumla..Hahahahah ni kawaida tu mbona. Ila amekwambia kabisa waangalie tu hao warembo barabarani ila Usisahau commitment yako kwa mama kuruthumu. Safisha tu macho, ila usivuke mpaka
Muone kwanza.. wewe Safisha tu macho ila habari za kurubunika na kufahamiana ndo uzisahau tu tehSafi sana kama mnaelewa..Yeah..commitment haiwezi kusahaulika kwake na kwa familia kiujumla..
Eboooo!!!..Mbona umeanza tena kuleta zengwe..Mi NAFAHAMIANA nao..Lakini ilo halipunguzi upendo wangu kwa K hata nikimcheat mara mia..Muone kwanza.. wewe Safisha tu macho ila habari za kurubunika na kufahamiana ndo uzisahau tu teh
Hahahhaha ngoja nimpelekee hizi taarifa. Baki huko huko urubuniwe vizuriEboooo!!!..Mbona umeanza tena kuleta zengwe..Mi NAFAHAMIANA nao..Lakini ilo halipunguzi upendo wangu kwa K hata nikimcheat mara mia..
Teh teh..Unanikumbusha dada flani aliwahi kumpeleka umbea wa dizain hiyo..Dada wa watu alichezea makofi hadi nikamuonea huruma aisee..K hataki ya kusikia,ye anataka kujionea mwenyewe..Hahahhaha ngoja nimpelekee hizi taarifa. Baki huko huko urubuniwe vizuri
4. You will always find other women attractive
Marriage does not make you dead. You are still a man, and you will still look at other women. The real question is how you handle it. Dont forget the commitment you made on your wedding day.
Am not married yet but this!!!!!!!!!!!!!!! My dad never seemed to be bothered by other women, he never even talked about that while telling us about married life.
We were brought up believing (thinking) that when you marry, all other women automatically turn ugly!
Turned out it was all lies...am learning the hard way!
IN OTHER NEWS: You must spread some Reputation around before giving it to Paulo Sergio De Souz again. GOOD POST BRO.
'ppreciate that bro, thanx.
My main man told me one important thing, that is to never ever skip a stage in growing. When it's time to play, then i should play til it's completely outta my system. That way, i won't have to worry about chasing skirts, looking ridiculous when i'm post to be settled with the missus. I heard him.
So, u done playing!???
Pshh! Thought i was. But i'm still tempted to commit sins with thick & curvy skins every now and then, bro. I still can afford a few years of playing tho. It'll run out eventually.
All the best...tukaribishane kwenye wali tu kaka!
Hahahhaah me ni proffesional mmbea. Napeleka na evidence za video kabisa afu makofi na kusutwa nishakubuhuTeh teh..Unanikumbusha dada flani aliwahi kumpeleka umbea wa dizain hiyo..Dada wa watu alichezea makofi hadi nikamuonea huruma aisee..K hataki ya kusikia,ye anataka kujionea mwenyewe..
Haya bwana..Husiseme sikukwambiaHahahhaah me ni proffesional mmbea. Napeleka na evidence za video kabisa afu makofi na kusutwa nishakubuhu
Jamani hizi copy&kupest hizi....