What I want my son to know about marriage

What I want my son to know about marriage

Hahaha huku hakuna "kufahamiana" kwa njia yoyote ile. Uje tu, upako wako unakusubiri

Sasa nyie ni wapendwa wa aina gani? Manake mi naavyoelewa, lengo la kwenda kanisani ni kufahamiana na wenzio wa imani husika na kuwa karibu, ama sio hivyo?
 
Teh tunatambuana tu kwa majina na vyeo. Ila kufahamiana tumekataza

Hakijaharibika kitu lakini mpendwa. Itabidi unielekeze vigezo na masharti mengine yote kwa undani through....*clears throat* whats-app. Manake nina ka-ugonjwa ka kusahau.
 
Hakijaharibika kitu lakini mpendwa. Itabidi unielekeze vigezo na masharti mengine yote kwa undani through....*clears throat* whats-app. Manake nina ka-ugonjwa ka kusahau.
Hahaha maelezo ntakupa ila ni vizuri zaidi ukija kanisani afu ukashuhudia kwa macho yako. Aisee kuna baraka nyingi sana kwa ajili yako, usichelewe kuja... muujiza wako unakusubiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom