Hebu niambie upi uongozi bora kati ya nchi inayoongozwa viongozi wezi na wala rushwa wachama kimoja wanaobadilishana na kiongozi mmoja wa chama kimoja anayeongoza vizuri nchi na kupinga rushwa na wizi wa mali ya wananchi.
umekosea kidooogo:
1. Ni kweli nchi yetu inaongozwa na viongozi wezi na wala rushwa, lakini katika mfumo wa kidemokrasia tunaweza kuwaondoa CCM muda wowote tukitaka, in fact tatizo la watanzania ukiangalia takwimu za uchaguzi ni kuwa wengi HATUPIGI KURA, na sio kwamba tunabanwa na katiba au dikteta yoyote yule.
2. Kwa upande wa pili umesahau kuongeza kuwa nchini kwenu Rwanda rushwa imeruhusiwa kwa rais na watu wake wa karibu, huku vyombo vya habari na wapinzani wakidhibitiwa ili washindwe kuonyesha madhambi hayo. Waandishi waliojaribu kufichua rushwa kina
jean leonard rugambage walipigwa risasi, tena sio risasi moja au mbili bali mvua, kwa namna ambayo ni "warning" to others wanaochafua "what we have achieved". Rais wa chama cha upinzani green democratic party,
André Kagwa Rwisereka ALICHINJWA kama kuku muda mfupi kabla ya uchaguzi? wengine kama Jean Damascene Munyeshyaka wanapotea tu ghafla bin vuu..., victoire ingabire jailed, wengine kina theogene rudasingwa, david himbara, nyamwasa, karegeya wamekimbia nchi na huko huko waliko wanapewa kesi za ugaidi Rwanda ili wasirudi pamoja na kuwa assasinated, akina FDLR ndio hao..Hivi unadhani katika hali hii unadhani ni nani ndani ya Rwanda atakwambia kuna Rushwa Rwanda?
Kagame na familia yake ndio wanaocontrol biashara zote kubwa rwanda, in fact makampuni ya RPF ndio the biggest private sector in Rwanda huoni aibu? halafu ndani ya hiyo RPF anayejua na kushikilia akaunti zote ni Paul kagame! wengine wakiuliza ...Risasi! Paul kagame anapata wapi hela ya kununua ndege mbili za $100m kwenye nchi inayotegemea misaada? mama rais ana makampuni ya kila namna kuanzia benki mpaka catering na zote hizo zinategemea serikali kama mteja...dude, ona aibu kidogo!
sources:
- Corruption: Within 15 years, General Paul Kagame has become one of the richest men on earth, rising from rags to riches through repression, looting, killing and corruption. Within 15 years, General Paul Kagame has accumulated riches than can only rival the riches accumulated by Colonel Muammar Gaddafi in 42 years or the Arab princes in hundreds of years. The difference is Libya and most of the Middle East countries have oil; Rwanda has no natural resources to speak off.
General Paul Kagame has two private jets, worth 120 million dollars, owns a 100 million building in prime real estate in London, is the main shareholder
of the banks and industries in Rwanda and has stuffed offshore accounts in Seychelles, Mauritius, Turkey, Panama, Djibouti. When south African media disclosed the scandal surrounding the private jets, General Paul Kagame did what most dictators: relocating his wealth to more welcoming places. He moved the planes to Greece, and then apparently to Turkey.
- Nepotism, Corruption, Cronyism and misappropriation of public funds: Whatever of great value in Rwanda that is not owned by General Paul Kagame is owned by the relatives of his even more corrupt wife, Janet Kagame.
According to several sources here and here General Paul Kagame's wife Jeannette siphons Rwanda treasury through her two brother, Richard Murefu and Mustar Murefu. One owns the tea industry, the second source of income for Rwanda, the fuel supply especially to all the airline industry and the military and the other owns most of the private media. Their wives manage the most important private Bank in Rwanda, Bank of Kigali, in which General Paul Kagame is main shareholder. Other relatives of Janet Kagame own or manage the Rwanda Metals, a monopoly in metals trade, MTN, a telecommunications monopoly, and several national and international real estates investments especially in South Africa, Turkey, Djibouti and Dubai. Relatives of General Paul Kagame also control anything related or connected to foreign aid, public finances and foreign exchange.
The extent of the riches, businesses and enterprises controlled by General Paul Kagame, his wife Janet Kagame, and their relatives is mind boggling, especially that they have accomplished that within a mere 15 years.
Recently, General Paul visited the United States and did not even bother to hide his scandalous wealth while attending Clinton Global Initiative, one of the main aid organizations involved in helping the poor Rwandans. With unprecedented ostentation, General Paul Kagame spent nights in $20,000 a night room hotel, while an average Rwandan earns only US$ 400.00 a year. From our calculations it would take close to 50 years for an average Rwandan to pay one night hotel for the Rwandan dictator."
- source: The Dilemma of Dictators Part IV: One Down, More to Go: Focus on Paul Kagame of Rwanda
najua badala ya kujibu hoja utaanza kuhoji zimetoka wapi, sawa sawa na mtu anayevunja kioo akiona hapendezwi na anachokiona!