MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Wewe jmali,always unaquote wapinzani wa rwanda ambao huandika propaganda,hizo ndege ziko wapi? huo ni uongo wala hauna proof.
usijipe sifa, Tanzania haiangalii mambo ya Rwanda kihivyo, hiyo kauli ni propaganda za PK tumeshazizoea, mkiambiwa ukweli mnazusha tunawaonea wivu na barabara zenu mbili!
1.
2. Tanzania is a democracy not a dictatorship......
1. Nobody is forcing support down your throat. But at the same time don't interefere with us when we talk to FDLR, RNC either!
2. Tanzania is a democracy not a dictatorship. Not everyone belongs to CCM, like every tutsi belongs to RPF! stop comparing apples and oranges. CUF, Chadema, NCCR etc, are legal entities na wanaoperate kisheria, they don't make anybody's "plate full". eti "mna wapinzani..." ulidhani huku ni kama kwenu ambapo wapinzani ni haramu?
You can talk to the devil for all we care. Just know that there are consequences for your actions. The world knows now who you support. An organization that is listed as a terrorist organization by the US.
Tanzania is a REPUBLIC and not DEMOCRACY.
Lakini uliishaona wanyarwanda wanahangaishwa na mambo ya ndani ya tanzania?au mnafikiri mfanyayo ni mazuri,pk ameisha wapa ukweli angalieni yenu,ya rwanda hayawahusu.
Wewe jmali,always unaquote wapinzani wa rwanda ambao huandika propaganda,hizo ndege ziko wapi? huo ni uongo wala hauna proof.
wewe utajuaje wakati wewe mtutsi wa bongo? Mnyarwanda wannabe? unamjua Manaseh Nshuti and what position he has in Rwanda? kama huyu anakubali kuwa jets are there who are you to contend? we uko jikoni zaidi ya presidential advisor? angalia anavyojitetea hapa.
mimi nakuuliza kasema niza kagame?
mimi nakuuliza kasema niza kagame?
Wewe jmali,always unaquote wapinzani wa rwanda ambao huandika propaganda,hizo ndege ziko wapi? huo ni uongo wala hauna proof.
speechless!
Not even debatable ......you need 101 of a Republic versus a Democracy.
Wewe tatizo lako ni kutoelewa historia ya yaliyotokea 1994 rwanda,mkulu,inaitwa Tutsi Genocide,siyo hutu wala twa,sasa huko kuelewa kwako ndio tatizo lako.
Hahahahaha kafa BWM sasaKagameee akifa mimi siwezi kuliaaa nitamtupa rusumo aweee chakula cha mambaaaa