Yaani ukose namba Simba ukapate namba Uarabuni... hizi shule siku hizi mnafundishwa mini?Tuache unazi lakini kuhama ni haki kwake ila benchi amesugua hadi kaisha.Saiz katika mabeki wa pembeni bora ligi kuu hata 10 bora hatii maguu wakati akiwa Yanga alikiwa fire[emoji91]Kam angetaka hela angemwomba wakala amtafutie timu uarabuni.Huko ndo kuna mipesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kuambiwa hizi. Kwahiyo ni heri ucheze Namungo ufe njaa badala ukawe mchezaji wa Akiba TP Mazembe uwe tajiri...
Unadhani mchezaji wa kutumainiwa Namungo na mchezaji wa akiba Simba ni yupi ana nafasi ya kusajiliwa na Gor Mahia?
Kidogo endelevu? Unafikiri soka ni sawa na kuwa bank teller wa CRDB? Soka ni ajira isiyozidi miaka 10. Sasa avunjike mguu kwenye njaa kali badala ya kujikusanyia mapene bila jasho jingi... sio ujinga huo??Ni kweli bora upate kidogo endelevu kuliko kupata kingi cha mda mfupi, dogo angebaki Yanga sababu alikua ana uhakika wa number I think angepata offer nzuri nje sababu umri wake bado mdogo lkn kwa sasa naona kama kajipoteza mwenyewe kinacho fuatia hapo ni kotolewa mkopo na kupotea kusiko julikakana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga hii ambayo mshahara ni mpk wachezaji wafanye shinikizo? We unazungumzia umaarufu sio? Upepo wa hizi klabu mbili unavuma kwa msimu... upepo ukirudi Jangwani Gadiel atarudi kiroho safi kabisa kujichukulia mapene... Kama alivyofanya Ibrahim AjibMfano wako sio hai umekaa kishabiki zaidi. Gadiel Michael alikuwa Yanga akaenda Simba. Hakuwa Ndanda wala Mbao FC.
Mchezaji anae toka Yanga na kuhamia Simba and Vice Versa ni Sawa na MTU anae Hama kutoka Newyork na kuhamia Los Angeles.
Kabisa Dogo alikosa washauri wazuri. Kwa uwezo alio nao hatakiwi kukaa benchi. Hapo Simba kapigwa misumari...
Haji Manara wannabeKwanini ukishabikia vyura ,gongowazi,mbutembute,hoho,utopolo,unakuwa mpumbavu direct...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mie nakupa like tu. Maana ni majibu ya kistaarabu sana kwa huyu mkusanyiko fc.Mtafute Gadiel mwenyewe... maana hajawahi kulalamika. Na anazidi kunawiri tu.
Inawaumaaaa. Ajib nae vp?U c what I c.
Ur the true son of Ur father.
It was not necessary for Gadiel to go to Simba.
Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
Mkuu mie nakupa like tu. Maana ni majibu ya kistaarabu sana kwa huyu mkusanyiko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu Mbona hujamsema Ambokile kutoka Mbeya City kwenda Bench la TP MAZEMBE.Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.
Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?
Wachezaji wa Tanzania bogus sana
humu inaonesha ni jinsi gani watu wameujua mpira kupitia azam tv, hivi simba hii ya kuhonga marefa ili kina manara wabaki na ajira zao ndio ya kumfanya Gadie aende kuua kipaji. Washabiki wengi wa simba wakimsikiliza Manara wanaiona simba kama alhly vile. Simba hii ikikosa figisu haina tofauti na Namungo mwenye masikio na asikie. Manara anawaharibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
NdumbayeyeMkuuu Mbona hujamsema Ambokile kutoka Mbeya City kwenda Bench la TP MAZEMBE.
Mbona hujamsema Mahrez kutoka Leister City kwenda Bench la Man City, Hazard je.
Umeongea UCHAWI wa Tshabalala mbona hujaongea UCHAWI wa Juma Abdul dhidi ya Bw. Mdogo BOXER? Au hujui kuwa kila anayecheza namba ya Abdul anaugua nusu kuffa?
Katika Uhamisho wa wachezaji Soka lina maajabu yake Gadiel yuko sahihi maaana hujui anachokitafuta, endelea kuwa shabiki ya wachezaji waaachie, huenda hata Gadiel anakushangaa kuishabikia Yanga!
Mkuuu hiii ya mwisho nakuibia siri;
humu inaonesha ni jinsi gani watu wameujua mpira kupitia azam tv, hivi simba hii ya kuhonga marefa ili kina manara wabaki na ajira zao ndio ya kumfanya Gadie aende kuua kipaji. Washabiki wengi wa simba wakimsikiliza Manara wanaiona simba kama alhly vile. Simba hii ikikosa figisu haina tofauti na Namungo mwenye masikio na asikie. Manara anawaharibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
U c what I c.
Ur the true son of Ur father.
It was not necessary for Gadiel to go to Simba.