What Has Gone Wrong in Catholic Seminaries?

Sijui ila allafrica.com imeitaja uru seminary as the best school of the past decade and 2012,,,
pia kumbuka tz yote ina 325 division one kati ya 51000 candidates,,,
 
Na juu ya yote, hizi shule hazitasahaulika kwa kutuandalia wataalam walioshindwa kuipeleka popote nchi kiuchumi na ustawi wa jamii. Zimezalisha walevi wengi, wezi wengi na mafisadi tu. Very sad!
 
Na juu ya yote, hizi shule hazitasahaulika kwa kutuandalia wataalam walioshindwa kuipeleka popote nchi kiuchumi na ustawi wa jamii. Zimezalisha walevi wengi, wezi wengi na mafisadi tu. Very sad!
UKWELI mchungu, umemaliza kaka,big up!. Seminari hizi ndio sehemu Ya kujifunzia ufisadi NA roho mbaya. Kila ufisadi nchi hii ni Hawa watu. Madaktar wengi wametokea shule hizo. Wamekuwa wakatili kipitiliza! Hivi inakuaje unamuona mgonjwa anateseka hadi anafika kufa kwa kukosa matibabu unamuacha humsaidii kwa kuwa unaidai serikali mshahara mkubwa, kama Si roho mbaya/ukatili ni nn?!
 
Narrow mindedness + Inferiority Complexity = St*pid Evaluation
 
Ukweli ni kwamba kuna jambo na siri nzito lilikuwa linaendelea ndani ya seminari kwa miaka mingi.
Tunamshukuru waziri KAWAMBWA kuliona na kulifanyia kazi.Kwa nyongeza jiulizeni kwa nini hata matokeo
ya darasa la saba yanatolewa kwenye mtandao kwa ukweli na uwazi kwani hata wale ambao zamani walikuwa wanazimwa hawaendi sekondari ,sasa hivi wanaenda.Mwenyezimungu amzidishie waziri Kawambwa.
 
Brother!!!,i cant deny ur case but jus learn to summarize,and improve ur english.U ar trying but jus minnor grammer issues .I know this is our 2nd if not 3rd language ofcourse.Concerning ur case!!! 1.Tanzania education is carried away with politics.The massive changes you see today in perfomance can gv you a broader picture to dig more details behind th curtens of education system in relation to political changes and pressure from the citizens,opposition parties and international bodies which fund us.2.As above said by one of th respondent Tanzania education is more of business nowadays.Its calls for competitive private market.The more you bribe the more you lead.The more you lead,the more you attract customers,the more customers th higher bribery.3.All abt commitment,and motivation.From suppliers (owners,administration and teachers) and demand side (student as individual and parents).I rest my concern in summary.
 
Back
Top Bottom